Wema na Diamond ndio habari ya mjini leo

Anajiposti kila day[emoji23]kwanza bibi yule na umri wake kutupostia picha kavaa vichupi vya kuogelea haoni kama anajidharirisha ilhali anajua wanae wakubwa wale wapo insta wanaona mama kavaa kichupi na kisidiria,tako nje uwiiii
Uzungu bibi tumekuwa wazungu kuliko wazungu wenyewe.
 
Bado kina lyin,kale kajuzi,,ila diamond acha waende unaambiwa anat.mba kama haitoioma k. Milele kwanini usiende
Sema dai ana upendeleo saaana,toka amekua star sjawah kusikia amegegeda mwanamke mweusi kama sio upendeleo ni nini[emoji23][emoji23]hakuna hata mweusi mmoja alietuwakilisha sisi watu weusi jamani[emoji23]
 
Dai ni malay a tu, akiongeza na pombe ndo zinaingia huko chini;
Zari hana shida zaidi ya mdudu wa dai;
Dai hana ujanja kwa zari c/o kuna watoto wake;
Ngoja tuone mwisho wa hizi ngoma.
Tuendelee tu kwa kwel tuone mwisho wa hii drama
 
Wanasemaga usimtupe jongoo na kijiti chake utawashia hata moto ndo huku sasa naona wameamua kutumia vijiti vyao kuwashia moto tena
 
Sema dai ana upendeleo saaana,toka amekua star sjawah kusikia amegegeda mwanamke mweusi kama sio upendeleo ni nini[emoji23][emoji23]hakuna hata mweusi mmoja alietuwakilisha sisi watu weusi jamani[emoji23]
Wanaume wanapenda wanawake weupe. Mweusi yupo yule dada aliekua anatangaza na kina Salma na Penny kwenye harusi yetu. Sema nae sio black kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…