Kwa mahusiano waliyo nayo ndugu sidhani kama ile ilikua kik. Halafu sio maara ya kwanza hawa watu kukutwa pamoja basi tu picha kulikua hamna ila hawaachani hao wawili.Diamond hawezi kufanya jambo bila kusindikiza na kiki...ilikuwa lazima lifanyikeke jambo ili lengo lake litimie...
Sitashangaa kusikia Wema alilipwa kutengeneza hiyo kiki.
Diamond sio mjinga kiasi hicho kufanya tukio kama lile tena hadharani huku camera zikimchukua.
Sina shaka kuwa lile ni tukio la kupangwa.....
Upumbavu unakuja pale ambapo mimi sina mtu na nampenda na yeye ananipendaa kwa wakati huo anarudi kwanini nisiendelee nae nikiwa nasubiri wangu. Kumuacha mtu unaempenda si jambo la kutumia nguvu. Mapenzi huwa yanaisha yenyewe tu. Sasa kabla hayajaisha usitumie nguvu na kujiumiza kuyamaliza.Mzigua bwana umesahau kua old is gold,hata wewe yule kijana single father anaweza zunguka wee huko mwisho wa siku akarejea,hasa ukiwa na upumbavu wa kumpa nafasi nyingine kama Upumbavu wa Tz sweetheart
Hakuna nchi wasioandika udaku. Labda kama hauko duniani mwenzetuHii kali yaani malaya au wazinifu maarufu nchini wakiendeleza uzinifu na kulaeitiana imekuwa ni habari motomoto. Mbona haya mambo ya kijingajinga hivi hatuoni kwenye magazeti ya majirani zety ni hapaa kwa wasio na bongo ndio ujinga huu upo
Malengo huwa yapo, na anayesababisha kwa 80% yatimie ni mtolewa bikra.Wakati mnawasuburia hao bikraz mnaendelea kuwatoa bikra wanawake wengine msio na malengo nao
Kwa vile unalingana nao kitabia na desturi lazima uwatetee tuHakuna nchi wasioandika udaku. Labda kama hauko duniani mwenzetu
Mi siamini kama ni kickMi pia nimejiuliza sana kuhusu hili swala maana nimebahatika kuiona hiyo clip,nikajiuliza hivi huyu mtu hana hata washauri kweli,sasa naanza kuamini kuwa kuna uwezekano mkubwa haya matukio huwa yanatengenezwa..
Angalia usije kusikia gaude ni mtoto wa jirani wewe ni baba mlezi
Hii chain ni ndefu na kina sisi utakuta tushakumbana nayo mahali. Ila Dar hamna ukimwi la sivyoo tungetafutana mjini.Wema ana mimba ya Diamond, bi Tukinao ameshasema yeye kuzaa basi.
Hamisa na Wema haziivi kabisa sasa hivi.
My take wote wawe na afya njema lakini katika hii chain kama kuna mwenye HIV, mbona mjini patakuwa padogo.
Huo udada wa taifa unamaanisha nini Mzigua90Wale wapenda ubuyu wenzangu tembeleeni kwa dada wa taifa kuna video mubashara kabisa ya Tz Sweetheart na kaka Abdul Naseeb. Mapenzi yamerudi kwa kasi ya ajabu sana.
Zarina ni muda sasa aamue kuondoka akaelee au aendelee kubanana na Wema na kwa hali ilipofikia Diamond hawezi kumuacha tena Wema hata awe aoe Wema ataendelea kuwepo.