Wema na Diamond ni kama kidole na pete, habari ya kuachana ni biashara

Wema na Diamond ni kama kidole na pete, habari ya kuachana ni biashara

Winnie227

Member
Joined
Jun 21, 2013
Posts
86
Reaction score
41
Jamani wanasema ukitaka kuuza sana habari basi weka ngono au umbea.Haya watu easily huwa drowned Kwa hizi vitu.

Chanzo changu ambacho ni hakiki kabisa kinasema hawa watu bado wako pamoja ila tu wame stage kuachana ili muendelee kuwaongelea m midomo ni kwenu.

Mnasahau hii couple ni biashara Huh?Shout out to Ruge,the mastermind of all big shots this people pull.He is a genius mofo..
 
Jamani wanasema ukitaka kuuza sana habari basi weka ngono hau umbea..haya watu easily huwa drowned Kwa hizi vitu..chanzo changu
Ambacho ni hakiki kabisa kinasema hawa watu bado wako pamoja ila tu wame stage ku achana ili muendelee ku waongelea m midomo ni kwenu. .mnasahau hii couple ni biashara
Huh?Shout out to Ruge,the mastermind of all big shots this people pull..he a genius mofo..

So what?
Kwahiyo wewe ndio umekuja kupromote hiyo biashara hapa?
 
Nadhani bongo habari za wema na diamond ndo zinaongoza sana maana hata masaa mawili hayapiti utamsikia tu mmoja kati yao
 
Biashara kwani wanauza nini sikioni mie zaidi ya kutiwa midomoni hawajua ngoma ikivoma sana mwisho hupasuka?
wametajwa watu na hadhi zao na wamesahauliwa seuze hao mtaji wao gazetini........
 
Back
Top Bottom