Jamani wanasema ukitaka kuuza sana habari basi weka ngono hau umbea..haya watu easily huwa drowned Kwa hizi vitu..chanzo changu
Ambacho ni hakiki kabisa kinasema hawa watu bado wako pamoja ila tu wame stage ku achana ili muendelee ku waongelea m midomo ni kwenu. .mnasahau hii couple ni biashara
Huh?Shout out to Ruge,the mastermind of all big shots this people pull..he a genius mofo..
Nadhani bongo habari za wema na diamond ndo zinaongoza sana maana hata masaa mawili hayapiti utamsikia tu mmoja kati yao
hahaha umeona eeeh
Ndo hivo halafu nakumiss sikuhizi
liar ....... ungenimiss ungenimention
Basi nimekukumbuka
Kwa hiyo wawe wanamtaarifu na mama wema sasa kafanya sherehe bureee looo
Kwa hiyo wawe wanamtaarifu na mama wema sasa kafanya sherehe bureee looo