hata atembee na nani she is her life she is finding her true love
mi naona watu hawamuelewagiii huyu dada anajua kupenda na akipenda anamaanisha tatizo bado hajampata sahihi
mnasema anatembea sijui na nani mara rizone mara rais wa rwanda mara kigogo BOT haya ni kawaida tu sababu hajaolewana hana mpenzi ndivo maisha ya mjini yalivyo akimpata wake atatulia.
Go wema follow your heart na ipo siku utampata akupendae hata hao wanaokusema unajichuna bora wee umejichuna mwili mzima wake zao au wenyewe sura fanta uso pepsi sugu za vidole zimewatoka nyeusiiii kama uvungu wa maku.
Afterall ni maisha yake mumuwaaache apumue nani ambae akipenda hataki dunia nzima ijue amependa???