ayubumvungi
Member
- Apr 29, 2013
- 8
- 0
Izzo siyo sharo!smart gangstar yule mnyamwezi!halafu watoto wazuri anawapasua sema ndo ile kimyakimya
Jamaa HB kinoma,halafu hiphop sana.Angekuwa anabana pua duh angewatafuna sana
Uzuri wa huyu bi dada si mchoyo ukiomba unapewa.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
..Ni sharo mmoja tu hivi. Niajeee M-chuga??