trudie
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 3,668
- 8,745
Ni hatua nzuri waliyofikia na hii inatuonyesha ni jinsi gani tunapaswa kuweka vinyongo pembeni na kusameheana.Hii wameonesha warembo wawili machachari wema a.k.a beautiful onyinye na jokate a.k.a. jojo ambapo wamepiga picha za pamoja (selfie)ndani ya ndege wakielekea Mwanza na kuzitupia katika akaunti zao wakionyesha kuwa na furaha.
Hongereni sana na nampongeza wema kwa roho yake nzuri ya kusamehe na kusahau yaliyopita.
Hongereni sana na nampongeza wema kwa roho yake nzuri ya kusamehe na kusahau yaliyopita.