Wema na kina Kardashians......

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Posts
49,282
Reaction score
117,244
Ni ukweli unajulikana kina Kim Kardashians
walivyoanzisha kipindi chao cha kuonesha maisha yao

hata wao hawakujua nini kitataokea mwisho
na watu wengi mwanzo waliona kama ni 'sio reality show'
ya kikweli kweli kwamba drama nyingi ni za kupanga
na kuandikwa na watu behind the scene....
mwisho hatimae kama mungu amesikia kilio chao

sasa wameanza kupatwa na real life drama ambazo hazihitaji kuigiza

na kila mtu sasa anatazama aone wata cope vipi na drama za kweli hizi?

drama ya kwanza ni mume wa dadake Kim kujulikana
anatumia drugs...na sasa kim anataka dada yake adai talaka..
na latest ya baba yao na mama yao sasa kuachana kikweli kweli
je wata shoot matukio yote na kuwaacha watu waone their pains za kweli?

na je kim na kanye hii arrangement inakwendaje?

hatimaye mungu sasa kawapa drama za kweli kazi kwao....

N Wema nae na kipindi chake na drama za kuigiza igiza mwisho sasa
tukapata taarifa ya msiba wa baba yake...najiuliza tu
alikumbuka camera? alilia mbela ya camera? aliweka make ups?

ni kama vile unam beep mungu halafu anakujibu....

hivi kuna ulazima wa kuweka maisha yako kwenye tv?

ukipatwa na drama za kweli je? utakumbuka camera?
 
what about their gold digging habbit nayo wanaweka wazi??
 
Anapgana na rado oficn camera inamulika,rado anaenda kwa wema kamera ipo nyuma, anaenda kuamshwa gethoni kwake camera hyo. Hatari zaidi ni pale adui yako anaenda bar(rado) et camera za wema nazo znarecord huku rado akijua! Sijui ni maigzo au vp!
 
Anapgana na rado oficn camera inamulika,rado anaenda kwa wema kamera ipo nyuma, anaenda kuamshwa gethoni kwake camera hyo. Hatari zaidi ni pale adui yako anaenda bar(rado) et camera za wema nazo znarecord huku rado akijua! Sijui ni maigzo au vp!

drama za kuigiza hadi drama za kweli zinafika...
 
Ndio maana halisi ya Endless Fame yaan atafanya lolote ili mradi ka umaarufu kasichuje.
 
How can anyone waste his or her time watching that drivel on TV?
 
haa haaa haa The Boss nadhan umefika wakati sasa the so called reality shows zibadilishwe jina.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…