Wema na kujikomba kote kwa aunty ezekiel atoswa kwenye birthday

Wema na kujikomba kote kwa aunty ezekiel atoswa kwenye birthday

instagram

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
2,118
Reaction score
4,863
Aunty ezekiel kweli ka move on past wema.. Pamoja na wema kujikomba kote kumuwish happy birthday aunt na kumpost mapicha kibao insta, aunty ezekiel kamkaushia mikausho mikali na hata hajamualika kwa birthday yake leo. Kweli wema kaisoma namba na leo ni namba 168.
Nahisi zarithebosslady katumia cheo

 
1477614477441.png
1477614485576.png
1477614493301.png
1477614499451.png
1477614504551.png
 
Mbona hata zarina hayupo?

Lakini wema si yupo china katika biashara zake[emoji6] [emoji6]
 
Nilimsikia Aunt akisema kuwa anamheshimu sana mwanamke wa bosi wa mumewe. Mjini hapa. Ukileta za kuleta utasababisha wakati wa half time Zari amwambie Mondi, hamtaki Iyobo. Unadhani Aunt hajui hilo?
 
Chaaaa...wema hayupo bongo, na angekuwepo angefosi tu kwenda kwa aunt, yule demu kajipindia!
 
Back
Top Bottom