Naona wote wamevaa minywele ya maiti na mikorogo imewakolea hatari....Yaani wanatisha wako kama majini.
Ahahaaaaah..!Naona wote wamevaa minywele ya maiti na mikorogo imewakolea hatari....Yaani wanatisha wako kama majini.
Mi ninalo. So sio Binadamu?Kwani wema amesharudi bongo? Hata hivyo hata angeenda bado mngesema kajipendekeza ili aalikwe kwenye part..
Binadamu hatuna jema
Wanasaga nn?Picha zimekaa kisagajisagaji ............!!1
Niombee ruhusa kwanza kwa Mods kukitaja hadharani hicho wanachokisaga.Wanasaga nn?
HehehehehhNiombee ruhusa kwanza kwa Mods kukitaja hadharani hicho wanachokisaga.
Umeongea yani mimama mizima alaf kwenda kushona na sare kabisa...kha!Hii mimama imezeeka birthday waachie watoto
Hapo yenyewe yanajiona yamependezaaa...yaani utadhani vitimotoz vipo mnadani!.Naona wote wamevaa minywele ya maiti na mikorogo imewakolea hatari....Yaani wanatisha wako kama majini.