Wema: Napenda mwanaume anayepiga

Wema: Napenda mwanaume anayepiga

Ketoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2015
Posts
1,117
Reaction score
1,966
MREMBO wa Bongo Movies, Wema Isaac Sepetu ametoa kali ya aina yake kuwa, katika maisha ya uhusiano, anafurahia kuwa na mwanaume ambaye atampa kipigo kidogo pale anapokosea. Mwanadada huyo aliyasema hayo hivi karibuni kwenye sherehe ya kuzaliwa ya meneja wake, Neema Ndepanya iliyofanyika nyumbani kwa Wema, Salasala jijini Dar ambapo aliulizwa na Ijumaa Wikienda kuhusu aina ya mwanaume anayependa kuwa naye

ndipo alipotoa ya moyoni.“Napenda mwanaume anipe kipigo kidogo siyo mwanaume mnaishi miaka yote, halafu hata kukupiga kofi kidogo hakupigi,” alisema Wema huku akiangua kicheko cha kiaina.
 
Hii tabia ipo kwa baadhi ya wanawake
Nakumbuka zamani nikiwa mkalimani niliitwa kwenye domestic violence ya wanandoa ambapo mwanaume alimvunja mkono mke wake, cha ajabu nilipomuuliza unataka afunguliwe kesi police alikataa katakata na kusema huwa tunapigwa tukikosea

Simshangai sana kwa kauli yake tuishi nao tu hivyo hivyo
 
Hii tabia ni kama mila na desturi kwa familia au sehemu nyingine. Kuna baadhi ya wanawake huwa wanafanya vutuko mpaka wapigwe ndiyo watulie. Kuna wengine zile purukushani za kupigwa na majirani kutoka kuja kuamulia ndiyo wanaona fahari. Inakuwa kama ni njia yao ya kuiambia jamii kuwa ''oneni mimi nimeolewa na mume wangu ananithamini mpaka yuko tayari kunipiga ili kunirekebisha''. Hii tabia iko sana uswazi na vijijini. Mwanamke akiachiwa kuwa huru kufanya chochote anachotaka anaona kama mumewe hamjali.
 
Ni kweli namuunga mkono.hata Mimi mke wangu nampiga kidogo wanaume wadhaifu ndo hawawezi kufanya hivyo wanajishtukia
Safari hii ukimpiga naomba umpe kipigo cha kucompensate kwa siye tusiopiga wanawake.
Ukimtegua mguu siyo mbaya.
 
Hii tabia ni kama mila na desturi kwa familia au sehemu nyingine. Kuna baadhi ya wanawake huwa wanafanya vutuko mpaka wapigwe ndiyo watulie. Kuna wengine zile purukushani za kupigwa na majirani kutoka kuja kuamulia ndiyo wanaona fahari. Inakuwa kama ni njia yao ya kuiambia jamii kuwa ''oneni mimi nimeolewa na mume wangu ananithamini mpaka yuko tayari kunipiga ili kunirekebisha''. Hii tabia iko sana uswazi na vijijini. Mwanamke akiachiwa kuwa huru kufanya chochote anachotaka anaona kama mumewe hamjali.

Mmmh ..[emoji15] makubwa haya,wana harakati kutwa kucha wanapiga tarumbeta ili vipigo kwenye ndoa viishe kumbe kuna wanao vitaka
 
Kazi ipo aje kwa wakurya ndo kuna hayo mambo.. kupigana kulikuwa zamani huko sio this karne
 
Back
Top Bottom