Mwishowe atatamani "ANAYE NUKA MDOMO". Ila wema jamaaaniii!!!!
Ukishampiga ndo wapata nini sasa ur weakNi kweli namuunga mkono.hata Mimi mke wangu nampiga kidogo wanaume wadhaifu ndo hawawezi kufanya hivyo wanajishtukia
Hii tabia ni kama mila na desturi kwa familia au sehemu nyingine. Kuna baadhi ya wanawake huwa wanafanya vutuko mpaka wapigwe ndiyo watulie. Kuna wengine zile purukushani za kupigwa na majirani kutoka kuja kuamulia ndiyo wanaona fahari. Inakuwa kama ni njia yao ya kuiambia jamii kuwa ''oneni mimi nimeolewa na mume wangu ananithamini mpaka yuko tayari kunipiga ili kunirekebisha''. Hii tabia iko sana uswazi na vijijini. Mwanamke akiachiwa kuwa huru kufanya chochote anachotaka anaona kama mumewe hamjali.Hii tabia ipo kwa baadhi ya wanawake
Nakumbuka zamani nikiwa mkalimani niliitwa kwenye domestic violence ya wanandoa ambapo mwanaume alimvunja mkono mke wake, cha ajabu nilipomuuliza unataka afunguliwe kesi police alikataa katakata na kusema huwa tunapigwa tukikosea
Simshangai sana kwa kauli yake tuishi nao tu hivyo hivyo
Hawa usipowatembezea kipigo hawaelewi. Yaan akili hazikai sawa. Na usipofanya hivyo wanakudharauNi kweli namuunga mkono.hata Mimi mke wangu nampiga kidogo wanaume wadhaifu ndo hawawezi kufanya hivyo wanajishtukia
Hivi desperate ina maana gani mkuu.Nahisi anamaanisha yuko desperate na ndoa
Safari hii ukimpiga naomba umpe kipigo cha kucompensate kwa siye tusiopiga wanawake.Ni kweli namuunga mkono.hata Mimi mke wangu nampiga kidogo wanaume wadhaifu ndo hawawezi kufanya hivyo wanajishtukia
Hii tabia ni kama mila na desturi kwa familia au sehemu nyingine. Kuna baadhi ya wanawake huwa wanafanya vutuko mpaka wapigwe ndiyo watulie. Kuna wengine zile purukushani za kupigwa na majirani kutoka kuja kuamulia ndiyo wanaona fahari. Inakuwa kama ni njia yao ya kuiambia jamii kuwa ''oneni mimi nimeolewa na mume wangu ananithamini mpaka yuko tayari kunipiga ili kunirekebisha''. Hii tabia iko sana uswazi na vijijini. Mwanamke akiachiwa kuwa huru kufanya chochote anachotaka anaona kama mumewe hamjali.
Wewe ka mimiMaisha ya kupigwa mm hapana kwakweli
Wewe kupigwa ni lazma!(kwa sauti ya jiwe)Wewe ka mimi