Ameongea point moja tu huyu mama., kuchukizwa na dharau za diamond kumvisha pete wema bila ridhaa yake. Siku hizi naona imekuwa fashion watu hasa wasanii kuvishana pete za uchumba bila kushirikisha wazazi., watanzania tunasahau mila na desturi zetu., kwa mila zetu huwezi kumchumbia binti bila ruksa ya wazazi. Tumekuwa wajinga na kuiga lyf style ya mbele... Ukimvisha pete demu nakumchumbia inamaanisha mnaweka malengo ya kuoana., sasa unapochumbia bila makubaliano na wazazi., posa utapeleka kwa nani wakati wao hawakutambui?