Wema: Sasa hivi mama anamkubali Diamond

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
STAA wa filamu Bongo, Wema Sepetu aka mama ubaya ametaja sababu zinazomfanya aingie katika mgogoro na mama yake mzazi , Miriam Sepetu kuwa ni suala
la uchumba wake na Nasibu Abdul ' Diamond ' ambao alikuwa akiupinga mara kwa mara.

Akipiga stori na mapaparazi, Wema alisema kwa muda mrefu alikuwa akitofautiana kauli na mama yake katika suala zima la uhusiano wake na Diamond lakini anamshukuru Mungu amemuelewa na sasa kila kitu kinakwenda sawa .

"Mama nilikuwa nikimsihi sana juu ya uchumba wangu na Diamond lakini sasa tumefikia hatua nzuri namshukuru Mungu amekubali, maana siku hizi nikionana naye ananiuliza vipi mwenzako mzima , anaendeleaje, wakati mwanzoni haikuwa hivyo , " alisema Wema huku akiahidi kumkutanisha Diamond na mama yake .

Chanzo: GlobalPublisherz
 
Ndo maana nazisaka noti kwa udi na vumba na uandunje wangu huu nitapendwa tu.
 
Ndo maana nazisaka noti kwa udi na vumba na uandunje wangu huu nitapendwa tu.

Mama ubaya nae hakati tamaa mwenzie kashasema hana mpango wa kuoa sasa ivi, yeye anakazana tu kuji olesha

Huyo mama wema na yeye atakuwa kapewa cheni ya dhahabu tu na ndomo kutoka ulaya ndo maana anajishaua
 
Inamaanisha bi mdanga anapenda vitu vya dhahabu.
 
Mama ubaya nae hakati tamaa mwenzie kashasema hana mpango wa kuoa sasa ivi, yeye anakazana tu kuji olesha

Huyo mama wema na yeye atakuwa kapewa cheni ya dhahabu tu na ndomo kutoka ulaya ndo maana anajishaua

mi nshamchoka wema kila ktu magazeti
sijui yukoje
 
Na badoooooo atatuambia hadi kaota baba yake kamkubalii
 
Jaman mama ubaya uchumba wa nn huo usiokuwa na ndoa???jamaa ako kasema hana mpango wa kuoa...amka mama ubaya
 
Jaman mama ubaya uchumba wa nn huo usiokuwa na ndoa???jamaa ako kasema hana mpango wa kuoa...amka mama ubaya

Na yeye kang'ang'ania ndoa wakat ndoa yake na jumbe ilishamshinda pumbavu zake akaolewe na bambo kama ana hamu na ndoa
 
mama ubaya si dampo?domo anatumia huko nje takataka anatupa dampo na yeye anakubali
 
Kweli pesa sabuni ya roho, uki ikosa kweli ni soo, kwenye pesa unauza roho, ukitafuta acha ubishoo (Tundaman )
 
Akaze kamba ivo ivo,,kwa mujibu wa sensa wanawake ni wengi kuliko wanaume. Mtu anatumia tundu analitanua mpaka linalendemka harafu haoi!! Dah ni sida,,,!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…