Wema Sepetu aapa kuirudisha bongoMovies ktk ubora wake km zaman

ngoja wenye role model wao waje kumsifia.
 
Vp tena mambo yamekuwa magumu? Alikurupuka sana kutoa maamzi angekaa kimya tu akamaliza mambo ya kesi zake akaendelea na maisha.[emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Nikutakie heri ya pasaka rafiki
 
Haya ngoja nione yeye anamzimu gani wa kuirudisha bongo mavi.
 
Kama alishindwa mrudisha domo kwa zari bongo movie ataiwezea wapi
 
Chezea Magufuli wewe!!na bado,kila mtu atarudia kazi yake ya awali mwaka huu[emoji23][emoji23]!!Madanga yamekata,madanga yake karibia yote yametumbuliwa na mkulu,wahongaji hawapo!waoaji hawapo[emoji38][emoji38]

Hata wakukuhonga Murano saa hii hampati[emoji23][emoji23],kodi ya Nyumba bado inamsubiri,Mil 1 Kwa mwezi masihara sasa!?Chadema kuhonga hawajui kudadadeki!!mpaka leo party ya kupewa kadi ziiiiiiii,chezea Mbowe wewe!wakufanyie Party ya kupewa kadi we kama nani?!

Utaigiza mpaka na kina Kingwendu mwaka huu[emoji23][emoji23]
 
Tanzania sweetheart [emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
 
Unaendana na username yako [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…