Wema Sepetu Achoka na Skendo Kila Siku Sasa Anataka Kuolewa na Kutulia

Wema Sepetu Achoka na Skendo Kila Siku Sasa Anataka Kuolewa na Kutulia

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
Wema Sepetu amechoka uhusiano wa boyfriend na girlfriend. Muigizaji hiyo wa filamu amesema anataka kuolewa.

Wema alisema hayo jana kwenye reality show yake, In My Shoes baada ya meneja wake Martin Kadinda kumuuliza kwanini hana ‘kiki’ kwa sasa.

Miss Tanzania huyo wa mwaka 2006 alisema kuna vitu vingi anataka kuvifanya ikiwemo kuwa na hamu ya kutulia na kuwa mke wa mtu.

Hata hivyo Wema alisita kumweka wazi mwanaume anayetaka kumweka ndani na kumtaka meneja wake kuwa na subira.
 
Muda wa yeye kua na Kiki umeisha, kifupi amefulia lowekea. Mademu wakishafikiaga hii stage wanakuaga mteremko sana!
 
Zarinah ataua watu mwaka huu,,anaeoa wema tumuone atuachie Chibu wetu sieee awe na zari mika milele
 
Nyie mnaomponda Wema hao wake/mademu zenu mnajua walikuaje kabla hamjakutana nao?ye ustar ndo unaomponza ndo mn mwajua mambo yk mng vipi hao mnaodate nao????mtu anaweza kubadilika dakika yyt...muacheni binti wa watu
Laiti Mungu angeonesha live matendo yetu Cdhani km angekuepo mkamilifu anayeweza chonga juu ya hili,tuxwe kama nyani jamani kwa kutokuona ----- lake...!
 
Huyo atakuja keolewa na mtu wa kawaida saanaaaa yaani ntashangaa kuona mwanaume mwenye kila sababu ya kuwa admirable kwa beautiful women akija kuoa papuchi ilioexpaya kwa upande mwingine atakuwa ametusaidia kwani gharama za kumgonga zitapungua Mke wa mtu hana gharama yakhe
 
Huyu demu alikuwa mzuri kipindi akitoa film ya kwanza na marehem stevin kanumba ile ya valentain! Ila sa hvi hata ampe Dogo janja hyo mbunye lazma dogo ataisusa! labla akaolewe Botswana au aende viziwa vya mafia
 
Back
Top Bottom