Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
Huyo mume mtarajiwa namuonea huruma sana
Inshallah mwenye kheir na yeye atakuja....
Halua haina makombo mama. Muwachee
Inshallah mwenye kheir na yeye atakuja....
Mla mla leo,Mla jana kala nini?Halua haina makombo mama. Muwachee
Teh Teh naiona dalili ya Wema kuchanganyikiwa!Zarinah ataua watu mwaka huu,,anaeoa wema tumuone atuachie Chibu wetu sieee awe na zari mika milele