Wema Sepetu Achoka na Skendo Kila Siku Sasa Anataka Kuolewa na Kutulia

Huyu demu ana tamaa na anapenda vitu vya mteremko, yani kazi yake akae anyooshe miguu mwanaume akisha kichanga huko nje.. Kazi yake sasa apanue mapaja wamkamue apewe gari, hela au ofisi... Kwa kifupi hana lolote... Afu kuna watu walikua hawajui dimond alikua ana kaa na huyu demu kwa akili sana kwa sababu ana jua military cheche....
 
papuchi haina expiry date wewe. Ina maana alieolewa 20 years anakuwa alishaekspaya ama? Muacheni dada wa watu bwana
 
papuchi haina expiry date wewe. Ina maana alieolewa 20 years anakuwa alishaekspaya ama? Muacheni dada wa watu bwana

Hujui kitu demu akigongwa sana anawahi kuzeeka naturally nadhani hulijui hilo chunguza makahaba na vicheche wa makazini walivyokuwa chuo walikuwaje mzazi ?.Sema maisha ya siku urembo upo wa kila aina kuna mdomo feki, hips feki hadi skin tone inaweza kubadilishwa papuchi iliyopwaya inageuzwa mnato ndo vinavyowaokoa
 
papuchi haina expiry date wewe. Ina maana alieolewa 20 years anakuwa alishaekspaya ama? Muacheni dada wa watu bwana

Halafu usilinganishe ndoa na sexlife ya kubangaiza huku anagongwa na huyu na yule kama shamba la bibi lakini kwenye ndoa yupo na mmoja and on top of that there is marriage is not about sex only but many petty relationships are sex oriented
 
Huyu demu alikuwa mzuri kipindi akitoa film ya kwanza na marehem stevin kanumba ile ya valentain! Ila sa hvi hata ampe Dogo janja hyo mbunye lazma dogo ataisusa! labla akaolewe Botswana au aende viziwa vya mafia

Sio viziwa ni "visiwa" tafadhali kwenye lugha yetu adhim ya kiswahili.....napita tu nitarudi
 

Swadakta ndg yangu.
Si vizuri kunyoosheana vidole. Ndio mana kuna kutubu coz hakuna mkamilifu. Yy km binadamu amejua wapi alipokosea na sasa ameamia kujirudi.
 
Swadakta ndg yangu.
Si vizuri kunyoosheana vidole. Ndio mana kuna kutubu coz hakuna mkamilifu. Yy km binadamu amejua wapi alipokosea na sasa ameamia kujirudi.
Kilamtu atavuna alichopanda.
 

Tuwasiliane tuyamalize.
 
Watu humu ndani wameoa au kuolewa na hayo makombo ya watu.wengine sema tu ni underground.
 
huu ni zaidi ya "mlupo"
 

Attachments

  • 1423430802566.jpg
    64 KB · Views: 332
Mi Wema ananiudhi tabia yake ya kujirahisisha rahisisha kwa wanaume....aaargh ananiboa sana.Natamani kusikia kuwa Wema kaamua kumove on mwenyewe, kafungua duka la vitenge, ndala vyovyote hata genge la mchicha poa tu....though tutaponda lakini maisha ndo yanasonga na baadaye tutajisogeza sie wenyewe kumuungisha!Atleast mtu unatulia unafanya yako, hayo maisha ya mishe in town wanayoishi sio kabisa......no mradi wa kueleweka mradi mtu anaishi kwa jina tu....daaah hapana kwakweli!!
 

Ndio maana nampa bigup Ray C ni mama lishe na maisha yanakwenda na haishi kwa maigizo tena.
 
wema ameshachuja sijui nani atamuoa huyu kibibi asojitambua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…