I think its no big deal kwa wema kuporwa mchumba, watu wanaporwa waume wa ndoa itakuwa mchumba? moreover, hawa-match kabisaa, wema anammeza Diamond kiumri, kimwili na kitabia chafu. Diamond ni kijana ambae katulia na anajiheshimu. Katika mapenzi yao ninavyoona mimi ni kuwa wema ndo alikuwa anaforce na cdhani km ana true love kwa Diamond. Hata diamond cdhani km ana true love kwa Wema, alishataka kumwacha ila akabembelezwa arudiane nae.
Mwanamke aliekamilika anaetaka ndoa ya kweli lazima awe na tabia zinazoridhisha. Wewe unataka usafishiwe nyumba, upikiwe na kufuliwa nguo na mama mkwe, halafu utajiita unafaa kuwa mke kweli? Kuna mkwe anaetaka kugeuzwa housegirl? Its obvious huyo mkweo ataona kabisa kuwa mwanae kaingia choo kisicho na jinsia, hatopenda mwanae akuoe kwa tabia hiyo.
Wema yeye ni mzuri sana (frankly speaking), ushauri wangu kwa kwake ni kuwa kwa sasa atulie kabisa atathmini maisha yake, aache tabia chafu zinazomfanya aandikwe ovyo magazetini, atapata mwanaume mzuri na wa maana kuzidi Diamond anaemng'ang'ania....... May God be with her, apone maumivu asonge mbele