Wema sepetu afiwa na baba yake

Wema sepetu afiwa na baba yake

Mimi.

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2011
Posts
2,120
Reaction score
3,059
Balozi abrahama sepetu amefariki dunia muda mchache uliopita
 
Pumzika baba mkwe....mungu akupumzishe kwa amani ...umetupa binti anatuburudisha vibaya sana
 
RIP
tusubiri drama na magazeti ya shigongo
 
Pumzika baba mkwe....mungu akupumzishe kwa amani ...umetupa binti anatuburudisha vibaya sana

Pole sana mkuu kwa kuondokewa na ba mkwe,kazi ya mungu haina makosa
 
Kauli au dhamira zisizo na utu kama hizi sizipendi, "Jana fursa yetu haikuzaa matunda pale leaders, nadhani si vibaya tukachangamkia hii fursa adim"

Pumzika kwa amani mzee Sepetu, tuko pamoja nawe mpaka siku ya kiama.
 
Pumzika kwa Amani Mzee Abraham,Pole sana Wema Sepetu na Mungu akutie nguvu na ujasiri katika kipindi hiki. Amen.
 
RIP
tusubiri drama na magazeti ya shigongo

utasikia habari za freemason zinarudi tena, siwapend awa waandishi unakuta mnauchungu wa kufiwa na mmeangaika kuuguza wao wanaleta ufreemason mara kafara .

RIP baba
 
Back
Top Bottom