FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
............, discuss people! lol too much!
............, discuss people! lol too much!
Nilipoona kichwa cha habari nikadhani mtoto mzuri kaanza kutumia mtandao wa Fidel80/Masanilo,jamani mbona hicho ni kidonda cha kawaida.Nimekutana na Wema kikazi mara kadhaa na ni mtu mstaarabu sana hayo mengine ni utoto tu ukizangatia alikuwa 17yrs aliposhinda Miss Tanzania.
17years old eeh π
Madhara ya mizigo toka China ndo hii sasa.
Ila mrembo katumika mno nahisi itakuwa imechangia vipodozi kugonga mwamba
Mh! bibie na wewe ulikuwa wambo kwenye mkorogo? Ogopa mkorogo kama ukoma.ddduuuuuuuuuuu ndo hivyo jamani sitaki tena mkorogo mie π