Yeye alichezea uzazi wake sasa kaishia kutamani wa wengine...!Hongera zake nyingi
project hii c ya wema na hata idea sio ya wema n ya huyu dada alimkumbatia wao n mabalozi na wageni waalikwa tu ila cha ajabu n wema kudai kuwa n project yakeMiss Tanzania 2006 na muigizaji wa filamu, ameanzisha mradi mpya alioupa jina ‘Wema na Jamii’ ambapo ameanza kuzunguka kwenye shule mbalimbali jijini Dar es Salaam kuongea na wanafunzi na kuwapa vitu mbalimbali.
Yeye mwenyewe anasema #WemaNaJamii #MkonoWaBaraka #MtotoWakoNiWangu. Tazama picha hizo chini.
Nimesikia hivyo pia. Wema alikuwa mgeni mwalikwaproject hii c ya wema na hata idea sio ya wema n ya huyu dada alimkumbatia wao n mabalozi na wageni waalikwa tu ila cha ajabu n wema kudai kuwa n project yake
huyu mdada mwenye matatizo ya mguu ndo muanzilishi ya iyo project
ndio mgeni tu hausiki na chochote hapo yeye n martin kadindaNimesikia hivyo pia. Wema alikuwa mgeni mwalikwa
Kwisha kazindio mgeni tu hausiki na chochote hapo yeye n martin kadinda
Hongera zake nyingi
Hivi huyo wa sketi nyekundu ni mtoto eee?project hii c ya wema na hata idea sio ya wema n ya huyu dada alimkumbatia wao n mabalozi na wageni waalikwa tu ila cha ajabu n wema kudai kuwa n project yake
huyu mdada mwenye matatizo ya mguu ndo muanzilishi ya iyo project
mtu mzima huyoHivi huyo wa sketi nyekundu ni mtoto eee?
Ndio akaona hasikiki ni kama vile watu wanataka kumsahau kirahisi rahisi akaona adandie na kuipa jina lake, kazi anayo.Hii si project ya Wema ni ya huyo dada anaitwa Sophy ni mwalimu insta anatumia jina la wiseladysophy.