Wema Sepetu Aleta Mapinduzi Ya Reality TV Bongo! NIMEMKUBALIIII LAKINI ......!

lara 1

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2012
Posts
15,700
Reaction score
29,164
IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Mimi ni Team Wea, kitambo sanaa, japo alivosema analeta show nikajua itakuwa ya kubo boa coz honestly kwa mtazamo wangu nilijua wema can never do anything serious than being Wema Sepetu! Na nilijiandaa kucheki hio TV show yake na nimecheki na kujirizisha kuwa THE SHOW IS AWESOME!!!!!!!!!!! Way beyond my expectations!

Ujue the main theme ya kipindi ni kuhusiana na maisha ya kishua shua flani hivi, na wema anavohost cause naye ni toto la kishua basi mambo swadaktaaaaaaaa!!!!!!!!! Kiukweli i was not bored 1 bit! Na idea ya kumuweka Petit man (Pet ill give you a one night stand any time any day) kama mpambe ni mwaaaaaaaaaaaaaah! Na upambe nuksi anauweza kweli! Kadinda goo job, you might not be true man, na watu wanakosa imani na mrengo wako but you are 1 hell of a manager! YOU MAKE SHIT HAPPEN! PERIOD!

Sasa baada ya kuwavisha kilemba cha ukoka ngoja nitoe maoni yangu professionally! U team Wema pembeni kwa muda! Mi natakupa live ili ufanikiwe zaidi na mbeleni nisije kuchange channel kama nikiona kipindi cha Zamaradi a.k.a Zamamajungu (nisamehe bure wala hujawahi kunikosea lolote bt since you are a celebrity i happen to think you deserve my insults. Dont take me seriously)

1. STEP UP YOUR GAME! Ujue watu au mimi ile show yako Wema naitizama coz ni ya kishua, nategemea unitoe ushamba, nijifunze kipya kila nikiingia! Sasa ukianza kuleta uduwanzi utaiangalia na Domo na mke mwenzio Penseli sebuleni kwenu. Watu tunategemea MAMBO MAKUBWA utuoneshe uko NGURUDOTO, Kigamboni, Cassino, mabeach private huko zanzibar na mabo kama haya, BATA BATANI! paka wapambe nuksi tuseme NAAAAM!

2. UBUNIFU! Huu sikufichi hunaaaaaaaa! Unajikakamua ila badooo! Unakuwa na main idea nzuri ila details za kusisiua bado. fano ulivoenda Msasani Mall ku chopp money, kipindi chote wapita pita tu! Aaaaaaaah! Mbona kulikwa na scene nyingi tu ungeshut kutuburudisha? Kama kupata kunch, kujaribu zile nguo, kuongea na wauzaji, je wanakujua wewe Wema au kidampa tu pande zile? Ungewasaliamia funs wako, ukatuonesha 2 au 3 wanatoa coments na 1 au 2 aliktakiwa awe HATER TU! Kila Mwisho wa kipindi ungekuwa unasoma tweets HARSH OF THE HARSHEST kutoka kwa fans wako na kuonesha emotions zako na kuzijibu. That is reality! SIO KILA MTU ANAKUPENDA! (Japo personally nakupenda sanaaa!) Try to engage the public katika hio show yako. Labda episode moja uendeshe live chat watu waseme WHY THEY LOVE OR HATE WEMA! Usifikiri RATINGS utazipata bureeeeeeeee! Thubutuuuu! You might be Wema sepetu but TV business is another issue.

3.GO COMMERCIAL! Sawa kuwa tv personality lakini fanya hata biashara something REAL ya kuback up show yako kama Kimora au kina Kim K! Lazima uweke some POSITIVE IMPACT kwenye jamii cause we ni kama role model! Sasa wewe ni shopping na mambo ya bata batani tu! Kuwa hata designer, au fungua hata brand line ya chochote GET RICH OR DIE TRYIN MDOGO WANGU! Umejibwetekaaa unajua kuchuna buzi tu shosti! Fungua hata car wash, na hio airtime you will be a millionare in a week, au mgahawa! Watu wanatafuta majina yawaingizie pesa! Hata lipstic line au hata line ya mkorogo! Kitu kingine engage makampuni kwenye air time yako, aka volunteer charities na kampuni zisponse! Although wasichana waziri sanaa ni penut brain ila wewe umezidi, utazeeka mda si mda!

4. GUSA JAMII! Mfano weka kisegment ambacho maybe unawasupport wanawake wajasiria mali, so unakuwa unawatembelea na kuwahoji huku ukiwapa airtime, au unatembelea shule za sekondari ongea na wasichana, ongea na wasichana wanaotaka kutoka kisanii waeleze challange zao, zungumzia current affairs zinazovuma na utoe msimamo wako Wema kama wema! Ila uwe uangalife mwenzangi wasije kuku mvungi! Pika siku oja moja na kuosha vyombo kama mwanamke wa ki TZ, jiunge na vikozi uwainsipre watu wengine!

5. TUONESHE SHEMEJI YETU PEDESHEEE! Hahaaaaaaa! Hii naitaka kwa sababu zangu binafsi, umbea tu umenibana! LOL!

NOTE:
MIMI NI TEAM WEMA KINDAKINDAKI! PATACHIMBIKA HUMU MKILETA U HATER!!!!!!!!
 
lara 1 umenena, mara nyingi watu tunatafuta njia ili tuendelee na safari,sasa wengine hawajui kusoma picha...
 
Last edited by a moderator:
Yap,bibie Rala moko,doing best in what you are best,nice and constructive tips,hope atazisoma kiumakini na sio kama anasoma gazeti la mzee wa Bamaga a.k.a Shigongo!!

Hapo kwenye one night stand,I wish niwe mimi japo half night stand to tap tha @$#$!! Damon,bahati za watu!!
 
Reality gani wakati hata nyumba yenyewe siyo yake,jeuri hiyo afanye lady jaydee,ataonyesha maisha ya nyumbani kwake(siyo ya kupanga), kwenye mgahawa wake,yaan everything about her is genuine not fake like sepetu anavyojitahid kuji upgrade wakat bado she has a long way to go kuishi hayo maisha anayoyataka,pale anaigiza tu kama wanavyofanyaga locations,staa mzima eti unaji expose kwenye nyumba za watu then u call u self star,to hell
 
Samahani eti huyo petiti man ndo nani na anajishughulisha na nini hadi aonekane star hapa town? Halafu kuhusu kadinda ni kweli wanavyosema eti ni nanii au wanamsingizia tu?
 
Daa lara 1 umemshauri vyema sana, alaf sidhani kama anaijua target market yake maana kwa kuangalia tuu ni wazi lugha anayo itumia sidhani kama ni lugha inayo faa kwa soko lake hasa tukizingatia asilimia kubwa ya watanzania hawajasoma.

Alaf kuna mambo anayaweka ambayo pengine si ya msingi sana mfano ugomvi.

Pia kuna jambo silielewi juu ya Wema, kwanini anajaribu kuonesha yuko parfect na ana jisifu sana.

Hongera kwa kumwambia ukweli mchungu inabidi abadilike mapema, yani kipindi kimekuwa kama movie vile.

Bila shaka ume mshauri mengi nadhani atayazingatia.
IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Mimi ni Team Wea, kitambo sanaa, japo alivosema analeta show nikajua itakuwa ya kubo boa coz honestly kwa mtazamo wangu nilijua wema can never do anything serious than being Wema Sepetu! Na nilijiandaa kucheki hio TV show yake na nimecheki na kujirizisha kuwa THE SHOW IS AWESOME!!!!!!!!!!! Way beyond my expectations!

Ujue the main theme ya kipindi ni kuhusiana na maisha ya kishua shua flani hivi, na wema anavohost cause naye ni toto la kishua basi mambo swadaktaaaaaaaa!!!!!!!!! Kiukweli i was not bored 1 bit! Na idea ya kumuweka Petit man (Pet ill give you a one night stand any time any day) kama mpambe ni mwaaaaaaaaaaaaaah! Na upambe nuksi anauweza kweli! Kadinda goo job, you might not be true man, na watu wanakosa imani na mrengo wako but you are 1 hell of a manager! YOU MAKE SHIT HAPPEN! PERIOD!

Sasa baada ya kuwavisha kilemba cha ukoka ngoja nitoe maoni yangu professionally! U team Wema pembeni kwa muda! Mi natakupa live ili ufanikiwe zaidi na mbeleni nisije kuchange channel kama nikiona kipindi cha Zamaradi a.k.a Zamamajungu (nisamehe bure wala hujawahi kunikosea lolote bt since you are a celebrity i happen to think you deserve my insults. Dont take me seriously)

1. STEP UP YOUR GAME! Ujue watu au mimi ile show yako Wema naitizama coz ni ya kishua, nategemea unitoe ushamba, nijifunze kipya kila nikiingia! Sasa ukianza kuleta uduwanzi utaiangalia na Domo na mke mwenzio Penseli sebuleni kwenu. Watu tunategemea MAMBO MAKUBWA utuoneshe uko NGURUDOTO, Kigamboni, Cassino, mabeach private huko zanzibar na mabo kama haya, BATA BATANI! paka wapambe nuksi tuseme NAAAAM!

2. UBUNIFU! Huu sikufichi hunaaaaaaaa! Unajikakamua ila badooo! Unakuwa na main idea nzuri ila details za kusisiua bado. fano ulivoenda Msasani Mall ku chopp money, kipindi chote wapita pita tu! Aaaaaaaah! Mbona kulikwa na scene nyingi tu ungeshut kutuburudisha? Kama kupata kunch, kujaribu zile nguo, kuongea na wauzaji, je wanakujua wewe Wema au kidampa tu pande zile? Ungewasaliamia funs wako, ukatuonesha 2 au 3 wanatoa coments na 1 au 2 aliktakiwa awe HATER TU! Kila Mwisho wa kipindi ungekuwa unasoma tweets HARSH OF THE HARSHEST kutoka kwa fans wako na kuonesha emotions zako na kuzijibu. That is reality! SIO KILA MTU ANAKUPENDA! (Japo personally nakupenda sanaaa!) Try to engage the public katika hio show yako. Labda episode moja uendeshe live chat watu waseme WHY THEY LOVE OR HATE WEMA! Usifikiri RATINGS utazipata bureeeeeeeee! Thubutuuuu! You might be Wema sepetu but TV business is another issue.

3.GO COMMERCIAL! Sawa kuwa tv personality lakini fanya hata biashara something REAL ya kuback up show yako kama Kimora au kina Kim K! Lazima uweke some POSITIVE IMPACT kwenye jamii cause we ni kama role model! Sasa wewe ni shopping na mambo ya bata batani tu! Kuwa hata designer, au fungua hata brand line ya chochote GET RICH OR DIE TRYIN MDOGO WANGU! Umejibwetekaaa unajua kuchuna buzi tu shosti! Fungua hata car wash, na hio airtime you will be a millionare in a week, au mgahawa! Watu wanatafuta majina yawaingizie pesa! Hata lipstic line au hata line ya mkorogo! Kitu kingine engage makampuni kwenye air time yako, aka volunteer charities na kampuni zisponse! Although wasichana waziri sanaa ni penut brain ila wewe umezidi, utazeeka mda si mda!

4. GUSA JAMII! Mfano weka kisegment ambacho maybe unawasupport wanawake wajasiria mali, so unakuwa unawatembelea na kuwahoji huku ukiwapa airtime, au unatembelea shule za sekondari ongea na wasichana, ongea na wasichana wanaotaka kutoka kisanii waeleze challange zao, zungumzia current affairs zinazovuma na utoe msimamo wako Wema kama wema! Ila uwe uangalife mwenzangi wasije kuku mvungi! Pika siku oja moja na kuosha vyombo kama mwanamke wa ki TZ, jiunge na vikozi uwainsipre watu wengine!

5. TUONESHE SHEMEJI YETU PEDESHEEE! Hahaaaaaaa! Hii naitaka kwa sababu zangu binafsi, umbea tu umenibana! LOL!

NOTE:
MIMI NI TEAM WEMA KINDAKINDAKI! PATACHIMBIKA HUMU MKILETA U HATER!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
wema kapotea.. wema kaisha!!

ile kampuni yake iliyoko kule mwananyamala sijui inafanya nini!! hivi wanalipa kodi kweli??

sijawahi sikia hata siku moja kaingiza movie hata moja sokoni!
 
Wema anapenda u kim kardashian wakat ata kim mwenyewe anapiga mzigo 24hours,huyu dada yupo kwenye nafas nzur sana kweny jamii but hajui kutumia fursa,jina lake tu linaweza kumpa pesa kuliko hata anazohongwa ,sasa yeye anatuonyesha ufahari wa vitu ambavyo wote wanajua sio vyake,acheni kumpa sifa za kijinga,afanye vitu vya maana with the name,hata kampuni yenyewe sio yake sasa yeye anasimamia tu
 
Umesahau kumwambia abadili tangazo, me sijawai angalia kipindi chake bcoz tangazo lake linani turn off,
tangazo la kiboya boya lile me naona, wanapiga kelele nyingi, mbona komando jide katulia.
 
wanaomfahamu wamfikishie ujumbe (kama yeye mwenyewe hayupo humu)
 
Wema is a super star, ana uwezo mkubwa sana wa kuvuta attention za watu. kila kitu kwake ni story ndio maana udaku hawachoki kumuweka front page. hilo jina wema sepetu ni kama brandy name, anatakiwa kulitumia kupata mshiko zaidi. manager anatakiwa amsaidie maubunifu
 
JUZI ETI WAKA SHOOT WANATAKA KUPIGANA NA JAMAA MMOJA ETI JAMAA ANALETA YALE MAMBO YA KIZAMANI YA

UNANIJUA MIE NI NANI??

KAMA INAVYOTUMIWA NA HAWA MAJAMAA WA BONGO

gty_barack_obama_secret_service_jt_120416_wmain.jpg
 
Samahani eti huyo petiti man ndo nani na anajishughulisha na nini hadi aonekane star hapa town? Halafu kuhusu kadinda ni kweli wanavyosema eti ni nanii au wanamsingizia tu?

hako katoto petit long time kanasaka kick ila nyota haijang'aa!nahisi mleta uzi ni miongoni mwa watu wake ambaye anajaribu kumtafutia jina....ni kipimbi kimoja kinachopenda kudandia mastaa town hapa!kipindi wema anakazwa na chalz baba aliforce chalz baba awe mshkaji wake!kipindi hemed PHD anatoka TPF akaforce awe mshkaji wake!kipindi IZZO B anasumbua na pini lake aliofanya na SUMA LEE,alivyosikia IZZO kamla jack wolper akaforce ukaribu!sasa huo mdananda wake wa kwa wauza unga kinondoni ndo aibu!Dully sykes akisumbua akalazimisha ukaribu!...watu wanamkaza wema yeye anabaki kubeba plastic bags za wema akitoka shopping................................kuhusu martin kadinda hiyo habari ya ukweli kabisa anapumuliwa mgongoni!
 
Hahahaaaaaaaaaa! Muache Petit sie wanawake ndo tunaojua ubora wake! Japo mfupi ila chini mrefu!
 
JUZI ETI WAKA SHOOT WANATAKA KUPIGANA NA JAMAA MMOJA ETI JAMAA ANALETA YALE MAMBO YA YA

UNANIJUA MIE NI NANI??

KAMA INAVYOTUMIWA NA HAWA MAJAMAA WA BONGO

gty_barack_obama_secret_service_jt_120416_wmain.jpg
Katika scene ya kijinga ni hii na hile aliyokuwa ana gombana na yule msanii mwanzake.
 
Daa lara 1 umemshauri vyema sana, alaf sidhani kama anaijua target market yake maana kwa kuangalia tuu ni wazi lugha anayo itumia sidhani kama ni lugha inayo faa kwa soko lake hasa tukizingatia asilimia kubwa ya watanzania hawajasoma.

Alaf kuna mambo anayaweka ambayo pengine si ya msingi sana mfano ugomvi.

Pia kuna jambo silielewi juu ya Wema, kwanini anajaribu kuonesha yuko parfect na ana jisifu sana.

Hongera kwa kumwambia ukweli mchungu inabidi abadilike mapema, yani kipindi kimekuwa kama movie vile.

Bila shaka ume mshauri mengi nadhani atayazingatia.

mkuu ile ni Tamthilia tu kama tamthilia nyingine
halafu anachoniuzi zaidi ni kutumia lugha ya kikoloni wakati watazamaji wake asilimia kubwa hata yes na no hawajui
 
Last edited by a moderator:
Dah, nimejilazimisha kuangali show zake lakini nimeshindwa maana sioni cha maaana. Labda kupitia ushauri wako, akibadilika nitaanza kuangalia. Halafu kama huyu ni mtu maarufu na jina lake linafaa kuwa brand maarufu kwanini asilitumie moja kwa1 na akaondoa hilo la my shoes? Ila Muuza Sura, umenichekesha sana, udaku unasema kwasasa anamtafuna demu maarufu ambaye mume wake yupo jela.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom