Wema Sepetu Aleta Mapinduzi Ya Reality TV Bongo! NIMEMKUBALIIII LAKINI ......!

huyo kajala si cha wote!watu wanamuumizia sana tatizo anataka kujifanya kiuno ndo msingi wakati town kuna wakali kibao ambao hawana habari wanakugongea kimya kimya...huyo demu watu wanamkazia na kuna bingwa mmoja ndo kanasa kwa huyo kajala wake kaamua kusepa nae far east...dogo atabaki kubeba tu mifuko ya wema!wenyewe wanamuita madam
 
lara 1

hiki kipindi kilikuwa kirushwe clouds tv mwanzo

what happened?

halafu show ya p square na EATV nimeona Kelvin Twissa again yuko in charge...

any news? ..
naona kuna inside news hapa unazo au?
 
Last edited by a moderator:


Kwa ufupi Wema akuajiri wewe as a consultant baasi.. lol
 
lara 1

hiki kipindi kilikuwa kirushwe clouds tv mwanzo

what happened?

halafu show ya p square na EATV nimeona Kelvin Twissa again yuko in charge...

any news? ..
naona kuna inside news hapa unazo au?

Twisa si director wa marketing huko voda, na voda ndo waliwashusha P square! Kipindi ilikuwa kirushwe Clouds ila EA walimpa mkataba mnono zaidi.
 

Muuza kumbe na wewe mjini bado una kamba mguuni? Petit siku hizi anamkaza mdogo wake Vanessa! Kajala kaenda kupindua ndoa ya blogger maarufu sana! Blogger alimuacha muewe kumkimbilia mtoto wa migo wenye upungufu wa K mwilini!

Chezea petiti man, shule hana, kazi hana, ila anakula bata hadi kuku wanaona wivu! Mdomo wake ofisi yake.
 

blogger anakazwa na nani now?
 
Twisa si director wa marketing huko voda, na voda ndo waliwashusha P square! Kipindi ilikuwa kirushwe Clouds ila EA walimpa mkataba mnono zaidi.

Inawezekana na wewe kuna inside infos hazijakufikia..

Twissa alivyokuwa Tigo alipiga dili ya kumleta 50 CENT na kusaga
over millioni 600 ..baada ya hiyo dili tu akasepa..
kuna so many stories kuhusu hiyo dili..
na alipoenda Zain halafu ikauzwa kwa wahindi...
knowing Kusaga kuna kitu tu i am sure...something is not right..
 


mdogo wake Vanessa ni mzuri kuliko dada yake
kumbe keshakuwa mara hii? dah..
 

Mmmhh vituko
 
Ila huyo jamaa yake sijui kadinda mbona kama sio kidume vile ?mambo yake ya kike kike sana au ndio vile tena?
 
Samahani eti huyo petiti man ndo nani na anajishughulisha na nini hadi aonekane star hapa town? Halafu kuhusu kadinda ni kweli wanavyosema eti ni nanii au wanamsingizia tu?
Huyo kadinda ni mshumaa huo mkuu,kuna msela wangu alisomanae tosamaganga anasema ndio ulikuwa mchezo wake huo
 

mdogo wake Vanessa ni mzuri kuliko dada yake
kumbe keshakuwa mara hii? dah..
Hahahahahahaha wallah mie na kufahamu weye.... Toka mtaa wa pili eh?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…