Hahaahaaaaleo ndo umenunua smartphone?
Hahah inaitwa simu janja...Hahaahaaaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ndio inaitwa simu ya kufuta
Siku ya kwanza kuipata hii simu, nimetoka dukani, nimewekewa line bahati nzuri namba yangu ya zamani, niko supermarket, simu inaita sijui ninapokea wapi, kuna kaka mmoja alikua nyuma yangu akawa anacheka, simu imekatika mara ya kwanza, kuja kupangusa kumbeeπ³π³Hahaahaaaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ndio inaitwa simu ya kufuta
Hebu niambie,kipi ungetamani kukimiliki lakini fwedha haijakaa upande wako,ili kama vipi nikufanyie njia ya mkato ??Siku ya kwanza kuipata hii simu, nimetoka dukani, nimewekewa line bahati nzuri namba yangu ya zamani, niko supermarket, simu inaita sijui ninapokea wapi, kuna kaka mmoja alikua nyuma yangu akawa anacheka, simu imekatika mara ya kwanza, kuja kupangusa kumbeeπ³π³
Hebu niambie,kipi ungetamani kukimiliki lakini fwedha haijakaa upande wako,ili kama vipi nikufanyie njia ya mkato ??
You made my day, asante sana mkuu, I feel like I have just been dropped from heaven right now ππππHebu niambie,kipi ungetamani kukimiliki lakini fwedha haijakaa upande wako,ili kama vipi nikufanyie njia ya mkato ??
AbeeeeeHahaha ulikuwa jela? π
inaitwa simu tanashati,hehehHahaahaaaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ndio inaitwa simu ya kufuta
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Siku ya kwanza kuipata hii simu, nimetoka dukani, nimewekewa line bahati nzuri namba yangu ya zamani, niko supermarket, simu inaita sijui ninapokea wapi, kuna kaka mmoja alikua nyuma yangu akawa anacheka, simu imekatika mara ya kwanza, kuja kupangusa kumbeeπ³π³