Queen Rover
Member
- Apr 29, 2015
- 88
- 79
Na akilala Bila kunywa uji wa ulezi fimboooooo [emoji2] [emoji2] [emoji2]Hahahaaa ana ratiba saa 10 jioni chai afu anaangalia cartoon .
Unasikia sauti kutoka uwani..... We John mbona hujamaliza hayo mayai mezaniiiii shushia na maziwa yote nshakukorogea sukari upelekwe shule haahaahaKasha isha uyo
wa masaki haoUnasikia sauti kutoka uwani..... We John mbona hujamaliza hayo mayai mezaniiiii shushia na maziwa yote nshakukorogea sukari upelekwe shule haahaaha
Mbona wema anamwambia jamaa asije akamuumiza si bora angemwambia aingize juu juu tu ndani amwachie sultan[emoji3][emoji3]Bila kumtaja wema hupumui?
Dah ila haya maisha hata mie nimepitia . mnapigiwa simu kipindi kile za mezani. Mnaulizwa mmekunywa chai, mmelala. Usiku mnataka kula nini. LohNa akilala Bila kunywa uji wa ulezi fimboooooo [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Na mimi nataka hiyo lips yako dear!Huyo si kawaida tu kulambwa lambwa mdomo
Kuleta ishu ya wema huku ni ujuha, kuna mambo muhimu ya kujadili yenye manufaa kwa jamii sio upuuzi kama huu.