Hii si hali ya kawaida. Kama ni kweli anatumia madawa ya kuongeza makalio kama tetesi zilivyo, basi hali imefikia pabaya.
Video hii inasikitisha. Kama anaweza kujirekebisha ni vyema akafanya hivyo.
Duh! Kama kuna mwenye picha Madame kipindi miss TZ atuwekee pls tumuone alivyokuwa.