Wema Sepetu anakoelekea siko

Lol...thanks
Naam,mimi niko natural,na ninajiamini na kujikubali jinsi nilivyo.
Ndo inavyotakiwa ... ukitaka uwe jinsi wanaume tunataka utajikuta umejiedit hadi unatisha...

Kumbe kila mtu ameumbwa na uzuri wake.
 
Mhh hilo kalio hapana,kwakweli bora la diva...
 
Duh makubwa haya ya Mwanza - tako kama box, yaani mtu akuchagulii tusi dah, ha ha ha ha, yaani nimecheka sana
 
Khaaaa bora nibaki na tutako twangu kama tuyai twa kwaree kuliko hii shughuli ya madame
 
Damn!!!She got ass that swallow up G-String,,,
 
Wewe mtoa mada unafaa kuwa mrithi wa Dida wa mchops kwenye kipindi chake
 
Wanaume wa Darisalamu Again
Umekariri?!

Huyo mleta mada ni mwanaume sasa?

Alafu huyu ni wa Mwanza huko alipoenda Wema ndio wa Bara mlivyo mnashangaa mpaka matako madogo kama hayo....njoo Dar muone matako
 
Sio mchambuzi wa matako....sie akina dada wenzake tunamuonea huruma kule anakoelelea.
Sasa hivi utasikia anaumwa uti wa mgongo.
Maana tigo anayotoa + matako ya mchina, lazima akatike central bolt
Hivi kwanini ile team yake wasimchangie hela akafanyiwe plastic surgery kama wakina Nicki Minaj, Amber rose blac Chyna na Kelly Michelle?! Kuliko hao madawa yao wanayokunywa?
 
Hivi kwanini ile team yake wasimchangie hela akafanyiwe plastic surgery kama wakina Nicki Minaj, Amber rose blac Chyna na Kelly Michelle?! Kuliko hao madawa yao wanayokunywa?
Yuko maabara pale wenye madawa yao wanajaribisha madawa kama yanafaa au hayafai
 
Hii si hali ya kawaida. Kama ni kweli anatumia madawa ya kuongeza makalio kama tetesi zilivyo, basi hali imefikia pabaya.

Video hii inasikitisha. Kama anaweza kujirekebisha ni vyema akafanya hivyo.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…