Wema Sepetu anakoelekea siko

Na bado kuna watu wanasifia oooh..wema miaka mia8 juu aah wapi c kwa zigo hilo bhana wanaomsifia ni wanafiki,,hapo lipo covered likiwa uncover litakuwaje!!!???....mmmhh na bado na viguo vyake Sasa loooh,...hizi kiki zingine sio...duuuh!!!!!
 
Huyu aliyemshauri atumie hayo makitu amempatia haswa amewezesha kuifanya dunia kuwa mahali salama pa kuishi, na Mungu huwa analipa hapa hapa duniani kabla hajatuletea mtoto mzuri (alisema mtoto wa DIAMOND m'baya ) kaanza kujiharibu mitako.
 
Kwa hili la mzigo feki Wema ameandika rekodi mbaya katika maisha yake. Mbona sioni ujauzito wake au hii picha ya muda mrefu?
 
Duh, kitu ambacho huyu binti simuekewi ni kuhusu utimamu wa akili yake kulinganisha na umri alionao. Hana aibu hata kidogo, yupo tayari kujifedhehesha ili apate sifa tu.

Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
 
tayari ulemavu huo il a wageni wa mambo wapapatikia tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…