Wema Sepetu anakoelekea siko

Hili tako hapana aisee ngoja nikachukue pima maji nije kupima bila hivyo siwezi kupata vipimo exactly
 
Hapaa Weema Alikuwa too Innocent...Nani alimbadilisha??au Baada ya kuanzia kuona MADUSHELELE Tofautitofautii??nasikiaaa nayoo yalee sio
 

Ukitaka kuamini team wema vichwa maji angalia wanavyomsifia kwa upuuzi huu!
 
dah nilikua namkubali sana huyu bt for now huwa simkubali kabisa yan.
 
Wema ana 'obsession' na matako. Na ukiwa 'obsessed' hauridhiki. Mi nilianza kusikia anatumia mchina 2010 kipindi hicho bado yupo kwenye chati.

Tulienda na rafiki Yangu duka LA urembo LA shangingi mmoja mjini ndio akatutolea kitu imeandikwa 'hip-up cream' akaanza kutupa maelezo kutuconvince. Nikauliza na cancer? Na bado die tunataka kuzaa. Eti ukitaka kupaka, unavaa pedi kila siku ili isiingie kwa kizazi!!!!!

Ndio akatuambia hata Wema anatumia, hamuoni alivyopendeza tako lake!! Ndio kujua kumbe sio lake. Sasa alipoharibu ni kuropoka zaidi wkt tunaendelea kuchati nae. Eti ila hips lake moja lilishuka karibu lianguke ksb anapenda kukalia upande mmoja!!!!! Kwa hiyo tumemshauri awe anapaka upande mmoja kwa kufanya ' massaging' kupeleka juu!!!!!!!!

Yn tuliaga fasta hata mafuta tuliyoenda kuulizia tukahairisha.

Nachotaka kusema ni kuwa effects za mchina zilimuanza Siku nyingi basi. Kwnn hakuacha???? Akaridhika??? Kama sio 'obssession' ni mini sasa huu upuuzi?

Yn kila mtu anajua unatumia mchina hata hainogi. Dahhhh
 
nlichoona apo makalio yanahamia mgongoni! Real evolution of man
 
Mchina chonde chonde watengenezee na zakuongeza miguu..


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…