IamMrLiverpool
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 4,362
- 6,274
Kazi ya Martin hiyo.......Hiyo shape basi nimecheeeeeka!!! Asante designer wa Wema kwa kuniongezea siku. Hiyo nguo hata nikimpa my atanitupia usoni.
Hii ni shape mpya kwenye mfumo wa namba..Watafiti bado wanachunguza ni namba ngapi..Hiyo shape namba ngapi
Tumia binomial expansionHii ni shape mpya kwenye mfumo wa namba..Watafiti bado wanachunguza ni namba ngapi..
Nadhani huyu ndo mwanamke pekee duniani mwenye shape kama hii..hahaha kaboom,jogi,mussolin5 mmenichekesha saana
Intergral ya complex numberHiyo shape namba ngapi
Kwa hiyo guiness book of records inamuhusu?Nadhani huyu ndo mwanamke pekee duniani mwenye shape kama hii..
Teh teh..Hiyo ina mtiririko unaoeleweka..Expansion ya Tanzanian sweetheart haina mpangilio..Labda tuiite binomial irregular expansionTumia binomial expansion
Kama hizo records hazina figisufigisu wala upendeleo..huyu anastahili..Labda abaniwe tuKwa hiyo guiness book of records inamuhusu?