Wema Sepetu anakoelekea siko

Maskini....duh!
Kweli watu mnavyomcheka mko na roho ngumu, sipati picha ni jinsi gani anapitia wakati ngumu sana maana vile anavyopenda urembo sa akijiona alivyokuwa nadhani anatamani kushinda ndani.
Pole sana Wema, wadada wajifunze kupitia kwako umuhimu wa kuheshimu uumbaji wa Mungu.
 
H
Shepu matata ipi? Hivi anajua kuwa amekuwa kituko?
Kama unga uliokandwa.
Hips mbili kila upande alafu mpaka kwenye magoti, kwa kweli ni turn off!
Mbaya zaidi anapenda nguo za kumchora hatari. Angekua anavaa zinazoachia kwanzia kiunoni kuficha hilo janga la taifa alilojitakia. Maana nliona clip yake ya new year alipendeza kuliko ile ya party ya mwanza aliyojibana her shapeless body
 
Aiseeeeeeeee!!! Hivi huyu binti hana wahauri??? Petit??? Martin??? Au ndo wanamsifia tu boss, daaahh mpaka namuhurumia yani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…