Ha ha ha kumbe nawe team wema, fanyeni maandamano asee hadi kwa maimatha, mwambie a bring back your wemaComments za humu jamani lols?
Angalau kuna wadau wameihusisha hii picha na photoshop labda timu wema tutafarijika.
Ha ha ha ha mkuu imekuuma au?Photoshop hiyo
Wakati huo kitumbua kilikuwa hakijapwelepweta wala kuchacha sasa hivi kimeliwa mpaka na nyenyereWema Sepetu anajilaumu sana ila hawezi kujirekebisha jinga sana!
hahaha. ...madam Wenu anadhalilishwa eeeehPhotoshop!
Wenu na nani mkuu! Be specific... i was there when the photo was taken! Ilikuwa uzinduzi wa Global TV online, hakuwa hivyohahaha. ...madam Wenu anadhalilishwa eeeeh
Inaitwa zimpompa haa haaaTeh teh..Shape za kununua balaa aisee..Hii figure sijui inaitwaje
Mmekazania Photoshop?...Photoshop mnaijua vizuri?...Umbo utafikiri Kiwaru jeshi anakunja kona...Photoshop!
Mmekazania Photoshop?...Photoshop mnaijua vizuri?...Umbo utafikiri Kiwaru jeshi anakunja kona...
comments za humu duhhhh.....eti shepu iitwe lugumi