Wema Sepetu anakoelekea siko

kitendawoli ikiwa ukubwa wa pua si wingi wa kamas je ukubwa wa matako si wing wa
nini
 
Mie sina Team mtoa mada umeongea vizuri ila umezidisha na vijembe vingi, na kashfa kwahiyo mtu akisoma tu anajua una Team yako ila si ya Wema, Wema asili yake ni mzuri ushahidi ukiangalia picha yake yake hiyo ya zamani, ila Wema ni kasichana flani kabishi hakasikizi ushauri na anajifanya mjuaji lakini hana anachojua wala si mjanja, Kusema ukweli hata mie ile shape yake bado sijaielewa na nahisi kama amepoteza muelekeo tangu aachane na Nasibu na hivi Nasibu anavyozidi kupaa ndo anazidi kupagawa, japo anajidai hajali si kweli.

Nakumbuka alipoanza ushoga na Snura ndo walomshawishi Mkorogo, tafuteni picha wakati anampokea Omotola dah, na alipoanza urafiki na hao wengine akaanza hayo mambo ya mchina. Nampenda sana huyu binti ila namuonea huruma sana, japo watu wanamsema Mange mkorofi ila kama angekuwa anasikiza ushauri wa dada yake Mange japo kidogo angekuwa mbali, asimsikize mabaya awe anachambua yale mazuri anayafanyia kazi, lakin Wema si mtu wa kusikiliza ushauri ndio tatizo.
 
Haya si ndio yenu wadada wa mjini halafu unaniponda na mwanamke wangu wa kijijini anayenyolea viwembe na nyusi kutinda mara moja kwa mwaka ,
Hongereni sana wadada wa mjini
 
Umesahau na kope bandia
 
Haya si ndio yenu wadada wa mjini halafu unaniponda na mwanamke wangu wa kijijini anayenyolea viwembe na nyusi kutinda mara moja kwa mwaka ,
Hongereni sana wadada wa mjini
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha kumbe umekereka na kuliweka moyoni, Kwahiyo wakati jana nakwambia mwanamke wa kijijini hukuelewa kwamba wanakuwa wana ubora wao na wao au uliangalia kwa mtazamo wa ghadhab na hasira??🙂
 
Juzi mitaa ya kino nikajua beki tatu gani huyu anauso mwekundu kama red Indian yaani mdada wa ajabu ajabu, si ndio nikatonywa kuwa huyo ndio rasnu, dooooh nikachoka hivi kumbe kule kwenye mashooting yao kuna wabeba vile.
 
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha kumbe umekereka na kuliweka moyoni, Kwahiyo wakati jana nakwambia mwanamke wa kijijini hukuelewa kwamba wanakuwa wana ubora wao na wao au uliangalia kwa mtazamo wa ghadhab na hasira??🙂
Sio nimeliweka moyoni mimi huwa sipotezi kumbukumbu ya jambo kirahisi ,wala sikua na hasira ,hasira za nini sasa ?? Yaani kwa vile ulikua na mtazamo wako na mimi na wangu basi ndio nichukie ?? Ile inaitwa kukomaa kiume tu hakuna cha zaidi
 
Mie hata nilishasahau nilomwambia vile ni nani au nilibishana na nani? Ulipanic sana jana, ndo mana hata umekumbuka kama ulikuwa unabishana na mie lol, ulikuwa unaelekea kwenye kashfa za vijiweni kabsaaaa, ukatoka nje ya mada, nadhani ulikuwa unanisoma tofauti ndo mana ukawa umemind.
 
Hahahahaha nimechekajee,,,bora wenur makalio ya kizungu Tu tumeyazoea
 
Duu ngoja nikuache maana naona unataka kuchukua point tatu ,nimepanik nini ?? Mimi majibu nayatoa jinsi unavyotaka sio vinginevyo ,yeah wewe umesahau na mimi sipotezi kumbukumbu sasa hapo sijui huelewi nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…