Wema Sepetu anakoelekea siko

mh! hatari, kawa mbayaaaa. Sijui nani anawadanganya wanawake wengine kuwa wanaume wote wanapenda makalio makubwa?? basi yakiwa makubwa yawe na shape inayoelleweka, sio kama hayo. Kajiharibu huyo.
 
Aisee jamaa we bingwa wa matako....!
 
hilo tako lmechambuliwa balaa.. ila wema kajiaribu alikuwa mzuri sana huyu binti... kweli usiombe dunia ikufunze lazima ikueleleze aisee
 
Wanawake wa shamba tuna raha sana.....tulivyo zaliwa ndo tulivyo mpaka leo...... Uzuri na ubaya wetu wa asili ndo tunao mpaka leo.......... Kuishi kwa presha yann?!?! Makalio gani sasa ayo.... Shape mbaaaayaa.... Puuuu... Ajiandae kuokota nyama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…