Wema Sepetu asema madawa ya hospital kwa ajili ya mtoto yanamnenepesha

Numbisa

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2016
Posts
301,221
Reaction score
1,172,274
Wakati akijibu post ya shabiki wake,wema sepetu aweka wazi kuwa madawa ya hospital anayopewa na madokta ili kumsaidia apate mtoto ndio yanayomnenepesha.
Je ni sahihi kwake kuweka wazi jambo hili?
 
Akitaka mtoto akumbuke aliyoyafanya nyuma kisha atubu, atamaliza hospital I zote.
 
Kwaiyo anatuma msg kwamba hivi sasa karibu kila siku lazima agongwe maana mimba inatafutwa kwa namna zote.
 
dah angefanya kama mwenzake happiness Magese mpaka amepata ndiyo ameweka wazi.
 
Laana ya kuchoropoa mimba inamtafuna sasa anatapatapa
 
dah angefanya kama mwenzake happiness Magese mpaka amepata ndiyo ameweka wazi.

Woow Kumbe amejaliwa huyu dada jamani? [emoji3][emoji3] lini hiyo? Wema atapata nae halafu mbona bado umri wake ni mdogo sana?
 
Woow Kumbe amejaliwa huyu dada jamani? [emoji3][emoji3] lini hiyo? Wema atapata nae halafu mbona bado umri wake ni mdogo sana?
Ni kweli umri wake mdogo...miaka yote Ana miaka 26 ...inaongezeka kwa kurudi nyuma!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…