Wema Sepetu Ashinda Tuzo ya Fashion

Wema Sepetu Ashinda Tuzo ya Fashion

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Kusemazana ukweli hii tuzo nyumbu wamempendelea, wapi hamisa, wapi Lulu, wapi Wolper? Nadhani hao niliowataja kwa kweli kwenye suala la mitupio ndio wanaongoza, wema sepetu hana kitu, ila kama wanavyosema waswahili, tatizo nyota, hongera wema sepetu kwa kushinda tuzo ya SWAHILI FASHION 2017
ba75e929870d05282e2e4db4e3084010.jpg
 
Naona ccm wanajaribu kumrudisha kwenye mstari ...

Wema umeshakuwa jitu zima sasa mwili huooo kama tembo hebu haya mambo mengine waachie mabinti 25 yrs kushuka chini , umri huo Inatakiwa uwe unalea mume na watoto kama wenzio kina Faraja Kota, Jackline Mengi lakini wewe ndo kwanza unajiona umri sawa na wakina Tunda, Lulu .

Tumia nafasi yako vizuri ya kisiasa u settle down sasa ,ikishindikana hamia hata Kenya sasa. hakuna kinachouma kama watu uliokuwa nao miaka 5 iliyopita wapo mbali na wameshatulia we bado unajibinua binua picha kama teenager .

Samahani kwa povu
 
uwepo wake CHADEMA ulimpotezea tuzo nyingi...kule hakuna mashindano ya urembo!
 
Huyo hadi Charles Baba kapiga, sina hakika juu ya Das Mwalimu
 
Naona ccm wanajaribu kumrudisha kwenye mstari ...

Wema umeshakuwa jitu zima sasa mwili huooo kama tembo hebu haya mambo mengine waachie mabinti 25 yrs kushuka chini , umri huo Inatakiwa uwe unalea mume na watoto kama wenzio kina Faraja Kota, Jackline Mengi lakini wewe ndo kwanza unajiona umri sawa na wakina Tunda, Lulu .

Tumia nafasi yako vizuri ya kisiasa u settle down sasa ,ikishindikana hamia hata Kenya sasa. hakuna kinachouma kama watu uliokuwa nao miaka 5 iliyopita wapo mbali na wameshatulia we bado unajibinua binua picha kama teenager .

Samahani kwa povu
Teh teh povu
 
Back
Top Bottom