Naona ccm wanajaribu kumrudisha kwenye mstari ...
Wema umeshakuwa jitu zima sasa mwili huooo kama tembo hebu haya mambo mengine waachie mabinti 25 yrs kushuka chini , umri huo Inatakiwa uwe unalea mume na watoto kama wenzio kina Faraja Kota, Jackline Mengi lakini wewe ndo kwanza unajiona umri sawa na wakina Tunda, Lulu .
Tumia nafasi yako vizuri ya kisiasa u settle down sasa ,ikishindikana hamia hata Kenya sasa. hakuna kinachouma kama watu uliokuwa nao miaka 5 iliyopita wapo mbali na wameshatulia we bado unajibinua binua picha kama teenager .
Samahani kwa povu