Wema Sepetu Ashtushwa Na Madai Kuwa Kajala Anatembea Na Clement

Wema Sepetu Ashtushwa Na Madai Kuwa Kajala Anatembea Na Clement

Ibrahim300

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2010
Posts
390
Reaction score
68

MAKUBWA! Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ ameshtushwa na habari zilizoshika kasi mithili ya moto wa kifuu kuwa eti shosti wake, Kajala Masanja anatembea na Clement aliyemwagwa na staa huyo hivi karibuni.

Kuhusu ishu hiyo, Wema alifunguka mwishoni mwa wiki iliyopita: “Nampenda sana rafiki yangu (Kajala) na sitaacha...


“Hakuna kitu cha Kajala nisichokijua... watu wanaweza kusema chochote lakini namjua rafiki yangu.
“Ebo! Eti anatembea na Clement? Dah Wabongo... basi hata kama kweli angekuwa anatembea naye, kwa hiyo?
Kajala Masanja.
“Msijaribu kuharibu urafiki wetu, wakati hamjui tumetoka wapi mimi na Kajala...”


 

Attachments

  • kajala.jpg
    kajala.jpg
    60.3 KB · Views: 3,935
Clement atakuuma sanaaa,mi ku n........yenu ishalegea huna hata hamu domo anakula makombo ya kufa mtu
 
Huyu Clement si ni mtu mzima,na hiyo hela ya madafu anayoihonga isije kuwa ndio hela zetu,kweli huyu mzee ni ATM ya nguvu,naye kawa sukari ya warembo
 
Clement atakuuma
sanaaa,mi ku n........yenu ishalegea huna hata hamu domo anakula makombo
ya kufa mtu

We uliyenaye umemuumba Lini?kama si wala makombo tu nawe.Ama kweli nyani hauoni k....le
 
Hakuna habari ingine ya maana ila hii ya makahaba wa mji tu? Stupid


Tukubaliane kutokukubaliana inatoooosha
 
who is clement?ana pesa ka yousafali mehboub manji?

Ni vijizi vidogovidogo vya pesa za walipa kodi huko serikalini.

Matajili hawanaga mbwembwe shida iko maskini akipata kijambio lazika kilie mbwata. ukimchunguza familia yake utakuta ni malofa wa kutupwa, wakati Manji anakula pesa ya urithi wa Babu yake tu, hajaanza kula ya Baba yake wala yakwake mwenyewe.
 
domo alitunga wimbo wa siku ya kufa kwan kijana wa ikulu anamtafuta gizan na kweupe
 

MAKUBWA! Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu ‘Madam' ameshtushwa na habari zilizoshika kasi mithili ya moto wa kifuu kuwa eti shosti wake, Kajala Masanja anatembea na Clement aliyemwagwa na staa huyo hivi karibuni.

Kuhusu ishu hiyo, Wema alifunguka mwishoni mwa wiki iliyopita: "Nampenda sana rafiki yangu (Kajala) na sitaacha...


"Hakuna kitu cha Kajala nisichokijua... watu wanaweza kusema chochote lakini namjua rafiki yangu.
"Ebo! Eti anatembea na Clement? Dah Wabongo... basi hata kama kweli angekuwa anatembea naye, kwa hiyo?
Kajala Masanja.
"Msijaribu kuharibu urafiki wetu, wakati hamjui tumetoka wapi mimi na Kajala..."



Uyo Clement ndio nani ebu tupieni picha yake hapa tumjue wakuu
 
what a ----! kuna vtu vingi vya kufanya hapa town kama kutoa mawazo yenu juu ya nchi hii na swala la katiba.sio hawa vinyago wanaotuharibia maadili yetu kila siku ---- U WEMA AND UR LITLE BTCH KAJALA
 
Back
Top Bottom