Wema Sepetu ataja sababu zilizomfanya asiende kumuona Tundu Lissu

Donatila

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,772
Reaction score
22,598

Mrembo wa Tanzania na Kada wa Chadema Wema Sepetu ametoa ya Moyoni kwa nini hakwenda kumuona mapema Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu baada ya kupigwa risasi septemba 7 ni kwamba asingeweza kumuona akiwa kwenye maumivu.

Wema ameweka wazi maneno hayo kwenye ukurasa wake wa Instagram ikiwa ni baada ya dakika chache tangu kuachiwa kwa picha za kwanza za Mbunge huyo akiwa hospitali ya Nairobi nchini Kenya.

Wema ameandika "Kisichokuua kinakufanya uwe na nguvuz zaidi....Utarudi tena ukiwa na nguvu kuliko ulivyokuwa awali...Shujaa wetu. ... Picha hii imenifanya nipate hisia. Sasa naweza andaa safari ya Nairobi kuja kukuona.. Awali nisingeweza kuvumilia kukuona ukiwa kwenye maumivu".

Wema Sepetu ametajwa na Chama cha Chadema kama mmoja wa wahamasishaji aliyeweza kuhamasisha watu kutoa michango kwa ajili ya matibabu ya Mbunge Tundu Lissu aliyelazwa Hospitali ya Nairobi baada ya kupigwa risasi na watu wasiojulikana alipokuwa kwenye gari lake nje ya makazi yuke huko mjini Dodoma.

Mpekuzi
 
Ushauri wangu ni kwamba hebu Wasanii wakubwa wa Tanzania wajitahidi wawaige wenzao wa ' Ulaya ' kwa kuajiri Wasemaji / Wazungumzaji wao kwani wakiachwa wao wenyewe wawe wanazungumza huwa wanaharibu na kuzidi kutuonyesha jinsi walivyo ' Wapumbavu '. Ni Mtu wa ' hovyo hovyo ' tu Kichwani ndiyo anaweza akazielewa ' Hoja ' mbovu alizozitoa Wema Sepetu. Hivi Wema Sepetu na Mkewe Tundu Lissu nani ana machungu ya kweli na Tundu Lissu? Mnapokuwa na Wasemaji / Wazungumzaji wenu wao huwa wanajua jinsi ya kuzungumza, kukulinda, kukujenga na kukupaisha katika Jamii lakini pia huwa wanajua kupima nini cha Kusema / Kuongea na wakati gani. Kuna vitu vingine ukivisikia huwa havikeri tu bali vinaudhi na kuchefua pia.
 
Acha longolongo, we toa tu michango Sweet Heart aende Nairobi kumpa pole Lisu.
 
Ushauri wangu ni kwamba hebu Wasanii wakubwa wa Tanzania wajitahidi wawaige wenzao wa ' Ulaya ' kwa kuajiri Wasemaji / Wazungumzaji wao kwani wakiachwa wao wenyewe wawe wanazungumza huwa wanaharibu na kuzidi kutuonyesha jinsi walivyo ' Wapumbavu '. Ni Mtu wa ' hovyo hovyo ' tu Kichwani ndiyo anaweza akazielewa ' Hoja ' mbovu alizozitoa Wema Sepetu. Hivi Wema Sepetu na Mkewe Tundu Lissu nani ana machungu ya kweli na Tundu Lissu? Mnapokuwa na Wasemaji / Wazungumzaji wenu wao huwa wanajua jinsi ya kuzungumza, kukulinda, kukujenga na kukupaisha katika Jamii lakini pia huwa wanajua kupima nini cha Kusema / Kuongea na wakati gani. Kuna vitu vingine ukivisikia huwa havikeri tu bali vinaudhi na kuchefua pia.
Kila mtu ana fahamu udhaifu wake. 7b alizoainisha wema kwake zina mashiko kwako hazina, wala hajitetei
 
Ushauri wangu ni kwamba hebu Wasanii wakubwa wa Tanzania wajitahidi wawaige wenzao wa ' Ulaya ' kwa kuajiri Wasemaji / Wazungumzaji wao kwani wakiachwa wao wenyewe wawe wanazungumza huwa wanaharibu na kuzidi kutuonyesha jinsi walivyo ' Wapumbavu '. Ni Mtu wa ' hovyo hovyo ' tu Kichwani ndiyo anaweza akazielewa ' Hoja ' mbovu alizozitoa Wema Sepetu. Hivi Wema Sepetu na Mkewe Tundu Lissu nani ana machungu ya kweli na Tundu Lissu? Mnapokuwa na Wasemaji / Wazungumzaji wenu wao huwa wanajua jinsi ya kuzungumza, kukulinda, kukujenga na kukupaisha katika Jamii lakini pia huwa wanajua kupima nini cha Kusema / Kuongea na wakati gani. Kuna vitu vingine ukivisikia huwa havikeri tu bali vinaudhi na kuchefua pia.

Maoni yako ni out of place. Kwani uliyoandika ndiyo ya maana?
 
Mrembo wa Tanzania na Kada wa Chadema Wema Sepetu ametoa ya Moyoni kwa nini hakwenda kumuona mapema Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu baada ya kupigwa risasi septemba 7 ni kwamba asingeweza kumuona akiwa kwenye maumivu.

Wema ameweka wazi maneno hayo kwenye ukurasa wake wa Instagram ikiwa ni baada ya dakika chache tangu kuachiwa kwa picha za kwanza za Mbunge huyo akiwa hospitali ya Nairobi nchini Kenya.

#####Wema ameandika "Kisichokuua kinakufanya uwe na nguvuz zaidi....Utarudi tena ukiwa na nguvu kuliko ulivyokuwa awali...Shujaa wetu. ... Picha hii imenifanya nipate hisia. Sasa naweza andaa safari ya Nairobi kuja kukuona.. Awali nisingeweza kuvumilia kukuona ukiwa kwenye maumivu".####CHADEMA INAJUA KUUMBA NA KUHUISHA... wanaotoka ccm zinawarudi na kuwa na tafakuri na hekima

Back
Top Bottom