Wema Sepetu atangaza kuwa single mother

Ashukuru hata huyo Whozu kamuachia mtoto, maana walio mtanguli hawakumuachia chochote.
 
Soma elewa halafu wakati mwingine ujuaji muwe mnaweka mifukoni na kuonyesha hekima. How come Mwanamke ampe Mwanamke mwenzie mimba?
Ungeelewa ulichoandika wema awe chanzo cha mabinti kuharibika upo sawa kweli?

Nakuuliza yeye ndiye aliyewapa mimba??

Wafundishe next time waache kuiga ujinga na wewe ukiwemo
 
Mtumishi tufanyeje katika hili?
Wanawake waache kujiaamulia mambo, waache
Mtumishi tufanyeje katika hili?
Mwanamke na awe na subira na awe mwombaji wakati wake utafika na ataolewa...

Kwa waliozaa, waombe toba na rehema kwa Mungu kwa kumaanisha, wasipoomba Biblia inasema itapatiliza wana uovu kizazi mpaka Cha nne...

NB: Tukae kiroho zaidi, maisha yanaanzia rohoni
 
Mungu awasaidie kwa kweli maana hiki kizazi imekuwa kama fashion mkuu!
 
Habari ya mjini ni NCHIMBI ,huyo kigagula atulize KOMWE lake kwanza na Kiki zake zisizo na kichwa wala miguu.
 
Singo maza kitambo tu huyo mayai tulikula nae chipsi
 
Huyu binti alaniwe tu, leo kasababisha asilimia kubwa ya mabinti wadogo kuwa Single mazas kwa sababu walikuwa ni influencers wake kipindi ana make headlines kwenye magazeti ya udaku 😒
Binti ni neno la kiarabu. Tafsiri yake please 🙏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…