Wema Sepetu atimiza miaka 27

Wema Sepetu atimiza miaka 27

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,386
Kwa mujibu wa east africa tv mwadada Wema sepetu leo anatimiza miaka 27 ya kuzaliwa
1475057242782.jpg

Hivi huku duniani kuna watu miaka yako haiongezeki aisee
 
Mmmmh!!! Wemaaaa wemaaaaa!!! Lakini wema hauozi!! kwa maana hiyo alizaliwa 1989!!!!
 
Kwa mujibu wa east africa tv mwadada Wema sepetu leo anatimiza miaka 27 ya kuzaliwa
View attachment 408320
Hivi huku duniani kuna watu miaka yako haiongezeki aisee
Inawezekana ni kweli alishawahi kusema 2006 wakati anagombea umiss alidanganya kwamba ana miaka 18 ili aruhusiwe kugombea kwani alikuwa hajaitimiza, sasa hata kama hakudanganya tuchukulie ni kweli alikuwa na hiyo miaka 18 mpaka leo ni 28 kwa hiyo ndo hivyo kajipunguzia mwaka 1
 
Wanapenda sana kujishusha miaka …
 
Hivi kwanini watu hawapendi ukubwa? Wakati mimi hapa natamani miaka mingi sipendi kujiweka mtoto Kila siku
 
Alikuwa miss tanzania 2006 na sheria za miss tanzania ni miaka 18 na kuendelea sasa asume alikuwa na miaka 18 iyo 2006 hadi leo ndo iyo 27?
So inabidi iwe 28, na inategemea hiyo miss Tz ilikua mwezi gani.
 
Back
Top Bottom