AHAHAHAHAHAHAHA kila mwaka ni under 27Kwa mujibu wa east africa tv mwadada Wema sepetu leo anatimiza miaka 27 ya kuzaliwa
View attachment 408320
Hivi huku duniani kuna watu miaka yako haiongezeki aisee
Si inabidi uambatanishe na cheti cha kuzaliwa unapopeleka fomu ya ushiriki,kwa tafsiri hiyo yakudanganya means had cheti ni feki,na kama alikua na ujasiri wa kutumia cheki feki,basi umri wake anaujua yeye na mama yake.Inawezekana ni kweli alishawahi kusema 2006 wakati anagombea umiss alidanganya kwamba ana miaka 18 ili aruhusiwe kugombea kwani alikuwa hajaitimiza, sasa hata kama hakudanganya tuchukulie ni kweli alikuwa na hiyo miaka 18 mpaka leo ni 28 kwa hiyo ndo hivyo kajipunguzia mwaka 1
dah navyomwona kwa sasa anaonekana amestahimili mapigo ya mashine tofauti tofauti ndani na nje ya nchi,cijui afikishapo 35 atakuwa ame experience kila mchumaDah, sasa walivyomchakachua akifikisha 35 si itakua ...........
Kumbe bado mdogo hivyo na kachoka hivyo ????Kweli chura wa sasa hamjitunzi......wanaume na hatari sana tunawazeesha wenzetu...kama ndiyo hivi.Kwa mujibu wa east africa tv mwadada Wema sepetu leo anatimiza miaka 27 ya kuzaliwa
View attachment 408320
Hivi huku duniani kuna watu miaka yako haiongezeki aisee
Miaka 27 lkn sura inazidi kumkimbiaKwa mujibu wa east africa tv mwadada Wema sepetu leo anatimiza miaka 27 ya kuzaliwa
View attachment 408320
Hivi huku duniani kuna watu miaka yako haiongezeki aisee
Kama ndio hivyo basi atakua na 28yrs cash 🙄🙄Alikuwa miss tanzania 2006 na sheria za miss tanzania ni miaka 18 na kuendelea sasa asume alikuwa na miaka 18 iyo 2006 hadi leo ndo iyo 27?
alidanganya umri kipindi kileAlikuwa miss tanzania 2006 na sheria za miss tanzania ni miaka 18 na kuendelea sasa asume alikuwa na miaka 18 iyo 2006 hadi leo ndo iyo 27?