Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Fanyeni yenu
leo kwenye orodha ya wadaiwa sugu wa tanesco yupo staa wetu wema sepetu.deni ni tsh milioni 8.sijui imekuwaje mtu adaiwe kiasi chote hicho wakati sis hata deni la buku 2 wanakata umeme??
Ana mashine ya kusaga na kukoboa....hivi inakuwaje mtu mwenye biashara ya billion 7(za zimbabwe) ashindwe kulipa bill ya umeme...
Sasa bilioni saba za Zimbabwe si ni Laki saba za madafu??
Tanesco hawakua wanaangalia tu, huyu alikua anaiba umeme, umeme ulikua hausomi kwenye mita ulikua unaingia moja kwa moja kwenye nyumba.Ila hilo deni linachekesha, matumizi ya nyumbani tu million 8,au ana kakiwanda humo....na tanesco walikua wanaanglia tu hadi deni linafikia hivo, au wanamsingizia?
Anaweza kuwa sio kosa lake kutokulipa TANESCO ni wazembe mi nilikaa mwaka na zaidi hawaleti bill kwenda kufuatilia na wakaanza kuniletea nikaanza kulipia bil ilikuwa ndogo sana mpaka nikawa nashangaa mwisho wa siku kutaharuki hao wamefika wanataka kukata umeme wananiambia ni mdaiwa sugu nadaiwa M2 na laki mbili kufuatilia wakaniambia nilikuwa nalipa service charge tu hapo nani wa kulaumiwa pengine na mwezetu yamemkuta hayo na vile hatujapata nafasi ya kumsikiliza na yy hatuwezi Kumjudge moja kwa moja kwamba mwizi
Waliomtuma kutukana matusi watu wenye umri wa marehemu baba yake wamlipie hiyo bili kumsitili na aibu hii...Mama Samia anaangalia tu campaign manager wake anavyodhalilishwa
Mama ongea na mwanao!