Kwani kabla la sakata hilo, Wema alikuwa akiishi na mama yake?Yaani mama yake anamsihi aingie ndani ya gari ili ampeleke home ..ila bado Wema anang'ang'ania yule jamaa??? tena mbele ya wazazI????
Mengine aibu mno!!
Au anakula unga??
.
arrrg mkuu ile listi wengi wanasingiziwa akiwemo yeye...
Huyu msichana amejiharibia maisha yake kijinga kabisa! Future yake ilikuwa tambarare sana, maana ana kaumbile kazuri anapendeza sana kwenye TV!! Sasa alivyo sasa na hao wanaume wa ajabu nasikitika sana! Lakini wazazi wake wana mchango kwa haya yote, inawezekana sana walikuwa wanambana sana kwenye makuzi yake, baada ya kuwa huru kidogo akaonjeshwa na akina TID, Kanumba, akina Kinje na hata Liyumba amekuwa wa ovyo hawezi kurudi kwenye mstari maana ameisha jua utamu wa Mb....
Huyu mtoto mwehu hilo jamaa lake limeshindwa kumtoa rumande mama yake kafanya mishe mishe kamtoa tena anataka kwenda kwake duh!Ange mwacha tu aendelee kuoza afunzwe na dunia.
Ndugu yangu Sipo,
Wala usiulize wazazi wake maana i know the family. They were my neighbours and its a shame that they are not owning up to their own mistakes, Shame on them!
Kwa kweli ni story ndefu ila kwa ufupi, wazazi wake pia wana walakini fulani. Wasijikoshe kwenye magazeti au kwa watu. this was expected kwa jinsi walivyokuwa wanawalea watoto wao especially huyo Wema.
There are few women I know who can treat their husbands like the way she treats the "Ambassador"!
Miss Tanzania wa zamani Wema Sepetu atupwa lupango Dar
MISS Tanzania wa mwaka 2006, Wema Sepetu na mwenzake, Asha Jumbe, wakazi wa Tabata Senene jijini Dar es Salaam, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni wakikabiliwa na tuhuma ya kuharibu mali.
Akisoma hati ya shtaka hilo, Mwendesha Mashtaka Inspekta wa Polisi, Nassoro Sisiwahy mbele ya Hakimu Mfawidhi Emillius Mchauru alisema kuwa watuhumiwa hao walitenda kosa hilo Januari 29 majira ya saa 3:00 usiku maeneo ya Magomeni Mikumi, Dar es Salaam.
Nassoro alidai kuwa siku ya tukio hilo watuhumiwa hao waliharibu kioo cha mbele cha gari aina ya Toyota Rav 4 yenye namba ya usajili T.993 ASD.
Mwendesha mashtaka alidai kuwa kioo cha gari kina thamani ya Sh 1,000,000 mali ya Stephen Kanumba.
Hata hivyo, watuhumiwa hao walikana shtaka hilo na walipelekwa rumande kwa kushindwa kutimiza masharti ya dhamana ya Sh 500,000, wadhamini wawili, mmoja awe mtumishi wa serikalini.
Awali, mtuhumiwa wa kwanza alikuwa ana mdhamini, lakini cha kushangaza alipofika mahakamani hapo alidai kuwa alikuwa amesahau barua zake kwenye gari.
"Mheshimiwa hakimu naomba nikachukue barua za kumdhamini kwani nimezisahau kwenye gari nilipoitwa mimi nikaja bila kuzichukua, "alisema mdhamini wa mtuhumiwa wa kwanza
Baada ya muda kupita hakimu Mchauru alisema, "Yaani mahakama imsubiri mtu aenda nyumbani kuchukua barua za kumdhamini mtu, kesi hii naiahirisha hadi hapo itakapotajwa tena Machi 18".
Source: Mwananchi
Ingawa siwajui kabisa hii familia lakini nahisi kuna shida kubwa hata kwenye makuzi ya Ms Wema...Baba E hebu bainisha wat happened hapa
Balozi mstaafu si ana mke toka Russia? Huyu mama Wema ni nyumba dogo ama mkewe? inachanganya habari yaoMkuu
Naogopa kuingilia undani wa maisha ya familia za watu (privacy) lakini kuna shida kubwa SANA ya MALEZI ya watoto ndani ya familia HII. Kama unavyofahamu mkuu mume wa huyu Mama Wema ni former BALOZI. On rare occassions anapokuwepo uwa lazima mwisho wa ujio wake ni MATUSI ya NGUONI (in public) na UGOMVI na hapo nyumbani kwao.
Hii trend nimeishuhudia for the past six years!
I've got to stop here
Balozi mstaafu si ana mke toka Russia? Huyu mama Wema ni nyumba dogo ama mkewe? inachanganya habari yao
kupenda ngono ni mbaya sana katika maisha ya sasa
Unajua hizi tabia za kupenda uroda pia zinarithiwa kwenye vinasaba!