JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Miongoni mwa matukio ambayo yamezua gumzo ni tukio la Wema Sepetu kuwafukuza nyumbani kwake mastaa wenzake wa Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’, Irene Uwoya, Kajala Masanja, Jacqueline Wolper na wengine kwa maelezo kwamba hawakumpa taarifa kwamba wanakwenda nyumbani kwake.
Wema ameshtukia tu kuwaona mastaa hao wakitinga nyumbani kwake ndipo akaamua kuwatimua.
Habari za ndani zinasema walikwenda kumaliza tofauti zao na Wema, jambo ambalo limeshindikana.
Hata hivyo, habari nyingine zinadai ni mwendelezo wa zile drama zao na hapo wapo lokeshi wakirekodi filamu au tamthiliya.
Source: Global Publishers