Wema Sepetu brand is worth billions

Japo ume copy na kupesti, ni bora ukaedit kidogo kuweka paragraph ili habari yako isomeke kwa urahisi
Mimi ndo mwandishi halisi wa uko uko ulipoikuta... Post zangu zote IG na jamiiforums mm ndo mwandishi.. Nenda IG @frankestainpastory na humu Jamii ni same name na ikikuta post zangu kokote wote wametoa kwangu.. Sema sijaweka signature ndo mana wasema ivo..na kimsingi ni mwendelezo wa post yangu ya jana yenye kichwa "Nyimbo za Wema zingeuza zaidi ya Alikiba nakushindanishwa na Diamond kama angekua mwimbaji... Gat it!!
 
Thank you for this Information. I
can now go to bed! This was
stressing me out so much!
 
Yaani umeandika makala nzima kwa ajili ya Wema Sepetu? Kweli wanaume tuko wa aina tofauti.
 
Wakuwache hata kama umecopy, huko ulipocopy sio wote tumepita huko tunaona, usingetupestia hapa sisi tungeyaona lini haya, anyway asante kwa uchambuzi yanikifu, u said it all, wenyewe wanasemaga the NAKED TRUTH
 
Kuna kichwa panzi mmoja humu alikuwa busy anahisi atamuharibia deal dimond ....

Eti wema alidhalilishwa, source yake ni gazeti la kiu, elements za defamation hata hazijui... ni kuropkwa tuuu
 
In the image looks like this
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…