siyo wema peke yake, ivi wanenguaji wa bendi hamuwaoni? mamiss hamuwaoni, wasanii wa filamu hamuwaoni, jamani taifa letu limekosa kitengo cha ukemeaji? mimi nawasiwasi na BASATA kuwa wale viongozi watakuwa hawajatulia ndio maana wanapenda wanenguaji wakae uchi, sasa imefikia hatua wanakaa uchi wala hakuna anayekemea,si TAMWA wala TGNP hakuna anayekema udhalilishwaji wa mwanamke unaofanyika kila kukicha, na matokeo yake wamekuwa vinara wa kuzungumzia siasa. wananikera mimi hawa waliojipa dhima hii wanapouza sura kwenye vyombo vya habari na wakati masula nyeti ya kumomonyoka kwa maadili ktk jamii yetu hawaifanyi. kwa ufupi inakera. tunahitaji serikali itoe tamko ili sisi wenyewe wananchi tuwashughulikie