Wema Sepetu - Hivi uzuri ni kukaa uchi mbele ya kadamnasi????

wema hajakosea chochote nyie kwani mkioga mnakuwa mmevaa minguo yenu??????????????????
vijiba vya roho vitawaua

Hivi nilifirki JAMII FORUM ni kwa great thinkers!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Kumbe hata kama hawa nawenyewe wamo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Kweli kwenye msafara wa MAMBA KENGE hawakosi. Sijui kama mtu na AKILI zake timamu anaweza kuoga kweupe na kila mtu akamuona. Naomba tuonekane tofauti basi ili tjitofautishe na Udakuuuuuuuuuuuuuuuuuu, WE ARE A GTREAT BTHINKERS LET WER BRING THE POINTS TO EDUCATE & CORRECT OTHERS
 

udhalilishaji unaouzungumzia ni upi hapa? mi sioni kama wanawake wanadhalilishwa wakati wenyewe ndio wanaoamua kukaa uchi, wanajidhalilisha wenyewe. Ushaona wanaume wa kibongo from wanenguaji to whoever anakaa uchi kipumbavu? Nadhani umefika muda wanawake wajiheshimu, wapo so insecure kiasi kwamba wanaamua kuvaa nguo ambazo zitawaonyesha maumbile yao ili kupata attention ya WANAUME.
 
Sio poa kulingana na maadili ye2 watanzania,WEMA ni mzuri ila mambo yake mengine kama hayo ya kukaa uchu na vivazi vya kuexpose mwili wake vinanikera,vaa kwa kujisitiri maeneo mengine umwonyeshe Diamond mkiwa wote getho..
 

Huko n kukosa HAYA mtu yeyote mwenye haya hawezi kufanya hivyo.Na hii si ajabu akawa na tabia nyingine mbaya zaidi kutokana na kukosa
HAYA msinulize ipi! anaweza hata akawa malaya, kutoheshimu watu wengine kwa sababu mwenyewe HAJIHESHIMU.Mtu kama huyu ni mbaya sana ktk jamii sababu kutokana na umaqarufu wake wasichana wengine ambao ni wajinga watamuiga .....@!%&*VU
 
Uchi ni nini?
Unaanzia wapi unaishia wapi?
Na ni nani aliyesema kuanzia hapa ni uchi na hapa si uchi!
 
Leave her the hell alone.

there is no way we can leave her alone, yeye ni kioo cha jamii lazima ajiheshimu....... teh teh nimependa signature yako "miafrika ndivyo tulivyo" ... si na wewe ni mmoja wa hiyo miafrika teh teh
 
Uchi ni nini?
Unaanzia wapi unaishia wapi?
Na ni nani aliyesema kuanzia hapa ni uchi na hapa si uchi!

Acha kuongea maneno ya kipumbavu wewe!! una umri gani hadi usijue uchi? Uchi ni sehemu za mwilli ambazo hazitakiwi kuwekwa wazi...... wewe unaweza kuweka makalio yako wazi mbele za watu au unajibu ushabiki tu? tumia akili acha kujibu kama mtu ambae hajaenda hata shule moja *&&^^%$##
 

Sasa uweke hata link basi ili watu wajue na kuelewa kinachokukera!
Anyway ngoja tukusaidie mkuu!

Kwa nyuma

http://4.bp.blogspot.com/-aO4LkBRmvdc/ThDzIPVF2II/AAAAAAAAjtI/Ht_Q-AQ877k/s640/25.jpg

Kwa mbele!

http://2.bp.blogspot.com/-Gx3k57KNWak/ThgoTzJAD3I/AAAAAAAAAUA/wswT0zojHCQ/s1600/28.jpg
 
Wema Sepeku Vs Bhoke of BBA!

The shame of Tanzania!

Imagine Wema Sepeku angekwenda BBA???!!


Just thinking aloud!
 
hizo picha mimi hata bodo kuziona.! kwani ziko wapi jamani???
 
watanzania sasa tupige kazi. wana kigamboni jiandaeni kupata MKUU wa WILAYA mpya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…