WEMA SEPETU in my shoes

WEMA SEPETU in my shoes

naa

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2013
Posts
791
Reaction score
1,074
Leo nimeona tangazo clouds tv,huyu mwanadada atakua na reality show yake inayoitwa in my shoes,i can't wait aiseeh....
 
Jina tu la reality show yake kakosea!Wasikilizaji wengi wa show yake ni watz wanao ongea kiswahili fasaha;Kwa nn show yake asiipe jina la kiswahili?

Huyu Wema ana kasumba kuhisi kuongea kiingereza ndiyo bab kubwa!Siku ile kwenye party ys wa TZ-Boston alipokuwa anatusalimia kwa kizungu tulimuona "kavu" tu!
 
naisubiri kwa hamu..i just love wema
 
Jamani I really like Wema ila nahisi reality show inaweza kuibua mascandals mengi zaidi maana maisha ya tv reality yanahitaji scandals ndio yanoge.
 
:doh: i thought she is in your naa :faint:
Leo nimeona tangazo clouds tv,huyu mwanadada atakua na reality show yake inayoitwa in my shoes,i can't wait aiseeh....
 
Last edited by a moderator:
images
2Q==

HAWA NDIO MAPRODUCER?
 
Jamani I really like Wema ila nahisi reality show inaweza kuibua mascandals mengi zaidi maana maisha ya tv reality yanahitaji scandals ndio yanoge.

Target of the show is to create more scandals..
without scandals there is no Wema Sepetu..
 
Huyo ni petit man wema hua anamwita mwanae ila huyu nae yupo kwenye kale kamtandao ka wauza...navockia wema anampenda sana huyu kijana
siwajui ila nawaona ona nae sana Hata Arusha alikuja nao
 
Jamani I really like Wema ila nahisi reality show inaweza kuibua mascandals mengi zaidi maana maisha ya tv reality yanahitaji scandals ndio yanoge.

me pia nampenda sana wema ila siku hiz nahuc kama kaupendo kanapungua cjui kwanini
 
Huyo ni petit man wema hua anamwita mwanae ila huyu nae yupo kwenye kale kamtandao ka wauza...navockia wema anampenda sana huyu kijana

muuza ...... halafu anaajiriwa na wema??
seriously??

ngoja nikuoneshe wauza.......... wa bongo i mean wauza mafuta lol
king kong hebu muoneshe mazeratti yetu ile na ile lamborgini ya njanoa tumpe maana halisi ya neno muuza .........
 
Last edited by a moderator:
Jamani I really like Wema ila nahisi reality show inaweza kuibua mascandals mengi zaidi maana maisha ya tv reality yanahitaji scandals ndio yanoge.

amesha jiandaa kwa scandal za kutosha hawezi kuishi bila lift ya scandal.
 
hapo ataweka list za ma x wake na kuanza kulia jinsi walivyomtenda
 
muuza ...... halafu anaajiriwa na wema??
seriously??

ngoja nikuoneshe wauza.......... wa bongo i mean wauza mafuta lol
king kong hebu muoneshe mazeratti yetu ile na ile lamborgini ya njanoa tumpe maana halisi ya neno muuza .........

huyo muuza lakini mtaji wake duni we unafikiri ukaribu na wema unasababishwa na nini!???
 
Last edited by a moderator:
Jina tu la reality show yake kakosea!Wasikilizaji wengi wa show yake ni watz wanao ongea kiswahili fasaha;Kwa nn show yake asiipe jina la kiswahili?

Huyu Wema ana kasumba kuhisi kuongea kiingereza ndiyo bab kubwa!Siku ile kwenye party ys wa TZ-Boston alipokuwa anatusalimia kwa kizungu tulimuona "kavu" tu!

Just love Mimisa
 
muuza ...... halafu anaajiriwa na wema??
seriously??

ngoja nikuoneshe wauza.......... wa bongo i mean wauza mafuta lol
king kong hebu muoneshe mazeratti yetu ile na ile lamborgini ya njanoa tumpe maana halisi ya neno muuza .........

Muuza SURA hawezi kuuza ile kitu alafu akaajiriwa na Wema!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom